Kodtec Speaker systems

kuna rockfordfosgate p3-D3

inafika hadi 25hz very low frequency.
 
Hio bass yake ni thrilling[emoji23][emoji23][emoji23] inapenya kwenye ngozi kabisa
hii speaker pekee kenya inauzwa 400000-500000tsh

wakati pioneer 3003d4 yenye spec sawa na hyo wanauza kati ya 220000-260000tsh huko huko kenya
 
Hili jambo ndio lipo kwa jirani yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hii speaker pekee kenya inauzwa 400000-500000tsh

wakati pioneer 3003d4 yenye spec sawa na hyo wanauza kati ya 220000-260000tsh huko huko kenya
Na hata bongo unazipata hizo pioneer. Huwa zinafika frequency ya 2OHz 3OORMS kwa twin coil huku Sony Xplod ni 3OHz 42ORMS twin coil. Bass is so powerful in both speakers
 
Mkuu kama una uzi umeongolea huu mtambo na specifications zake naomba unitag, au kama una uzi wa kuongelea hizi soundbar nitag pia
 


Kati ya hizi mbili ipi imezidi nyingine kwa perfomance na ubora?
Nilifika shop na kusikiliza zote ila sikufanikiwa kuona utofauti wowote

Nataka nijilipue nichukue mojawapo
Maana nimebadili mawazo ya jbl soundbar baada ya kuona kwa bei yke hizi zinaweza kuokoa jahazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…