Kodtec Speaker systems

Kodtec Speaker systems

Hapo kwenye frequency response ndiko uchawi
ulipo. Yani ukishaona 3OHz-2OkHz ujue tu mzigo umegusa sakafu ya deep bass.

Yani anything O-3OHz ni msala. Sony mwenyewe ana kitu ametengeneza mwaka huu kinafika 35Hz na watu wanaisifia sana kuwa inaizidi JBL. Ni subwoofer kwa ajili ya deep bass.

Sasa imagine mtu anayechezea kwenye 3OHz kamili itakuwaje. Huyo ni Kodtec wazee acheni masihara jokes aside.
kuna rockfordfosgate p3-D3

inafika hadi 25hz very low frequency.
 
Hio bass yake ni thrilling[emoji23][emoji23][emoji23] inapenya kwenye ngozi kabisa
hii speaker pekee kenya inauzwa 400000-500000tsh

wakati pioneer 3003d4 yenye spec sawa na hyo wanauza kati ya 220000-260000tsh huko huko kenya
 
Na ndio maana ukitaka kumjua mtu mwenye sea piano muache aachilie sauti mpaka juu, [emoji23][emoji23] broh utasikia mabati ya nyumba yake ndo yanakua radiators yaan mziki unakosa Radha kabisa inakua kama makelele.

Coz woofer ya seapiano ina : 80Wrms 2Ω at 100Hz, na ndo maana yanaunguruma sana.
Hili jambo ndio lipo kwa jirani yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hii speaker pekee kenya inauzwa 400000-500000tsh

wakati pioneer 3003d4 yenye spec sawa na hyo wanauza kati ya 220000-260000tsh huko huko kenya
Na hata bongo unazipata hizo pioneer. Huwa zinafika frequency ya 2OHz 3OORMS kwa twin coil huku Sony Xplod ni 3OHz 42ORMS twin coil. Bass is so powerful in both speakers
 
Hahahah kama una hela ya kutosha unaweza chukua ile option. Ila kama hela ya kuunga unga hii ni Quick Solution. Uzuri ni kuwa hili li subs unaweza kuliunga na Amp kupitia Pre-amp likaendelea kukupa burudani maana ni li Active subwoofer. Pamoja na zile floor standing kwa hapo baadae.
Mkuu kama una uzi umeongolea huu mtambo na specifications zake naomba unitag, au kama una uzi wa kuongelea hizi soundbar nitag pia
 
IMG_4925.jpg

IMG_4924.jpg

Kati ya hizi mbili ipi imezidi nyingine kwa perfomance na ubora?
Nilifika shop na kusikiliza zote ila sikufanikiwa kuona utofauti wowote

Nataka nijilipue nichukue mojawapo
Maana nimebadili mawazo ya jbl soundbar baada ya kuona kwa bei yke hizi zinaweza kuokoa jahazi.
 
Back
Top Bottom