Kodtec Speaker systems

hiyo sony ni 167 w @ 3ohms, compare to 4ohm, frequence responce pia
 
Hay mkuu kula vinu vikali kwa bei sadalaa
ebhanaaa eeeh niko hii pub ya ghorofani hpq stand kubwa moshi mjini, kuna kishindo ile laana ujue kishindo haswaaaaa daaahh mamaeeeeeee , nimechungulia juu juu nimeona mids za pionner 2 zile za gari(6by9)

na tweeters 4 za pioneer

ila sijajua huo msubwoofer ni upi ila hopely utakuwa pioneer tu

ila wazee ni kishindo saanaaaaaaaaa ujue

this fucking shit is true defination of kishindo daaaah.
 
Angalia kwenye bass frequency response kama huyi Sony dz350 ana 30hz or below Ili amzidi kodtec..upoo!!
 
Mwamba utakuwa umejaza redio ndani dah una sea piano, Kodtect, HT ya sony, na ile nyingine yenye speaker 2 za low frequency ni fireeeee
 
Mwamba utakuwa umejaza redio ndani dah una sea piano, Kodtect, HT ya sony, na ile nyingine yenye speaker 2 za low frequency ni fireeeee
Hahaha mie huwa napenda sana sound za kibabe😂😂😂
 
Ya uongo hio sio kweli😂😂😂 ukiwa na sikio bovu huwezi jua tofauti, kaka ukiskia mziki wa kodtec unaweza ukataka uuze hio Sony kesho.

Walioiskia hio kodtec wananielewa vizuri
mkuu ongea na Konzo kule china akupe shavu la Country Marketing Manager, maana sio kwa promo hili
 
Ya uongo hio sio kweli😂😂😂 ukiwa na sikio bovu huwezi jua tofauti, kaka ukiskia mziki wa kodtec unaweza ukataka uuze hio Sony kesho.

Walioiskia sound ya kodtec wananielewa vizuri.
Hata sea piano so 910 ana 20hz Ila sikiliza bass yake ikifika katkat inaanza kulalamika imefika mwisho wakat apo knob Bado ipo katkati 😂😂
 
Haya magoma ya Kodtec yapo shopee na Lazada kama ukitaka market ya kutosha unaaguza mzigo wa kutosha .
Tafuteni amx 5 na amx 6 subwoofers apo mtakua mmewaweza Kodtec
 
Haya magoma ya Kodtec yapo shopee na Lazada kama ukitaka market ya kutosha unaaguza mzigo wa kutosha .
Tafuteni amx 5 na amx 6 subwoofers apo mtakua mmewaweza Kodtec
Shopee ndio wako wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…