Kodtec Speaker systems

Ipi bora kwa mikito, iwapo utapewa option ya kuchagua wewe hapo.?!
Na je zinacheza video kwa bluetooth kwenye tv?
 
Naomba model ya iyo KT.
 
nataka hii niitafute niiongeze kwenye system yangu niitumie kama powered subwoofer kwenye 7.1 channel system.
 
mimi nakushauri uchukue subwoofer ya gari hta pioneer 308/309/310d4 hpa unapata hadi 25hz na ni watts 400rms zote hzo
hii nataka niichukue coz iko smart hata kimuonekano ikikaa ndani, muonekano wake hautofautiani sana na SVS labda au Bic, klipsch etc.

sub za gari sidhani kama zinapendeza kukaa ndani japo zinaweza kutoa mziki mzuri pia.
 
mchawi ni box tu mzee ukipata fundi mzuri wa kuchonga cabinet , itakuwa njema sana.
 
hii nataka niichukue coz iko smart hata kimuonekano ikikaa ndani, muonekano wake hautofautiani sana na SVS labda au Bic, klipsch etc.

sub za gari sidhani kama zinapendeza kukaa ndani japo zinaweza kutoa mziki mzuri pia.
Ukiiweka na hio Sub ya Kodtec umemaliza kazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…