Kodtec Speaker systems

Habarini wakuu
Kama kuna mtu anaitaji car subwoofer ya nguvu yenye deep bass pia bado iko in clean condition,
Kuna hii pioneer tsw308d4
Made in Mexico
1400w 400rms
Bei ni 160k bila box
Ukichkua na box ni 200fixed
Location dodoma,
call /WhatsApp 0783715243

Location dodoma,
call /WhatsApp 0783715243
 
Jom
Jombaa naomba location ya hio store, nikaperuzi.
 
Sasa mkuu hapo atleast utafute mziki kama huu, kwa pocha tu tauar unaonekana si wa kitoto, kuna mwenye nao?View attachment 2208812
Hili toleo la ovyo sana nilikuwa napita maeneo ya stand kuu(Arusha), Nikaiona nikaomba kuiskiliza duuh!! Sikuamini maskio yangu Mziki mbovu kweli afu linauzwa laki 6 na upuuzi .

Yaani Niki compare sound quality Bora hata hizi seapiano za laki 2 SP-1002 au angalau kidogo na hizi SP-661.

Nilichoka.n
 
Hili toleo la nyuma kidogo ila iko vuzuri nayo inatwanga balaa. Ubaya hawa generation zikishatoka sokoni hazirudigi. Hii kuikamata ni ngumu
Ipo nimeona hapa town japo sikuweza kuiskiza sound yake manake ilikuwa sealed ila hiyo 2812 na 2913 nimesikitika sijafanikiwa kuziona kabisa

[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Kwa ufupi hiyo Bluetooth multifunctional receiver ni kwamba inawagawia subwoofer na sound bar
wote kwa pamoja na Kwa sauti ileile.
(Au hata ukiongeza subwoofer nyingine au hometheater nyingine ni sawa tu ili zile port uzijaze Kwa output sound)
Ulinunua kiasi Gani hiyo multifunction receiver?
 
Napenda muziko mzuri uliochujwa..umenivutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…