filibert paul
Senior Member
- Oct 8, 2021
- 179
- 421
Mtafute geokim Instagram labda unaweza kuona kitu hapoNi kweli inaweza kuwa na sound nzuri changamoto kwenye muonekano sasa hauvutii kabisa. Yaani inakuwa kama umeweka mataka taka ndani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtafute geokim Instagram labda unaweza kuona kitu hapoNi kweli inaweza kuwa na sound nzuri changamoto kwenye muonekano sasa hauvutii kabisa. Yaani inakuwa kama umeweka mataka taka ndani.
🙌😂😂😂Ndio ni matakataka lakini yenye thamani ila napenda kusikiliza ladha ya mziki ninaoupenda na sio mapambo yasio na tija kwangu,
But all in all nikimaliza kujenga kwangu Nina Imani haya matakataka nitayapamba vizuri Ili yaonekane fresh na yenye mpangilio mzuri na wenye soround music ya ukweli ,
Mkuu, tunaenda taratibu huu mziki wa design hii ni wa wachache wanaoelewa.
Mtafute geokim Instagram labda unaweza kuona kitu hapo.Ni kweli inaweza kuwa na sound nzuri changamoto kwenye muonekano sasa hauvutii kabisa. Yaani inakuwa kama umeweka mataka taka ndani.
Yeaah sio Kwa ubaya mkuu yaan Mimi shida ni kwamba nimebanana saana ninapopanga ndo maana ya muonekano huo but najitaid niweke mpangilio nikiwa kwangu boss🙌😂😂😂
Mkuu sio kwa ubaya.
Hata mimi ni kichaa wa sound. Changamoto nyingine ya hiz sound zetu ni muonekano tu.
Shida sio ww ni aina ya miundo na ukavaji.Yeaah sio Kwa ubaya mkuu yaan Mimi shida ni kwamba nimebanana saana ninapopanga ndo maana ya muonekano huo but najitaid niweke mpangilio nikiwa kwangu boss
Ahaa sasa hapo ni upendeleo wako na mfuko lazima uutoboe Zaid Ili kupata mwonekano unayoitaka wewe but unaweza ukakava unavyotaka Wewe kulingana na upendeleo wako mkuuShida sio ww ni aina ya miundo na ukavaji.
Speake zingekuwa zinakavywa vizuri. Angalau.
Maana na hata kwa geokim ni hvyo hivyo.
Anachokifanya Geokim ndicho anachokifanya Wicalu electronics pale Iringa,tena Wicalu Yuko smart zaidi kwa muonekano wa sound zakeMtafute geokim Instagram labda unaweza kuona kitu hapo.
Yess ni kazi nzuri saana kwakwel "nothing is impossible"Anachokifanya Geokim ndicho anachokifanya Wicalu electronics pale Iringa,tena Wicalu Yuko smart zaidi kwa muonekano wa sound zake
Tutafute hela mkuu. Sasa soundbar ya 400k itakupa maajabu gani kwa mfano?Kinyonge sana mzee.
Ila 2.5M kwenye music dah.
Napata 43" Hisense 4K Smart (650k)
Napata Hisense 2.1 HS218 Soundbar (400k)
Chenji napata friji, cooker, na Washing machine za Hisense.
Dah tutafute hela.
Kati ya equipments zenye muonekano mzuri basi ni speakers.Shida sio ww ni aina ya miundo na ukavaji.
Speake zingekuwa zinakavywa vizuri. Angalau.
Maana na hata kwa geokim ni hvyo hivyo.
Hizo zote hapo umelist ni mahususi kwa nyumbani brand zote hapo nazifahamu na zingine hujalist kama pork, klipsch, focal, Dali, T.A, Jamo, SVS, elac, bowers wilkins, etcKati ya equipments zenye muonekano mzuri basi ni speakers.
Tatizo ni sisi wabongo hatuzijui (tunajua sony na lg tu)
Moja ya manufacturers wanaotengeneza speakers zenye design nzuri ni hawa hapa.
[emoji116]
- KEF
- Kanto
- Clouser Acoustic
- Buchardt
- Triangle
- Dynaudio
- Q acoustic
Check Google utaziona
Sijawaona B&W na BeoLab hapaKati ya equipments zenye muonekano mzuri basi ni speakers.
Tatizo ni sisi wabongo hatuzijui (tunajua sony na lg tu)
Moja ya manufacturers wanaotengeneza speakers zenye design nzuri ni hawa hapa.
[emoji116]
- KEF
- Kanto
- Clouser Acoustic
- Buchardt
- Triangle
- Dynaudio
- Q acoustic
Check Google utaziona
Nimekupata mkuu, ila Hapa naongelea Muonekano / Aesthetics (not just some random speakers)Hizo zote hapo umelist ni mahususi kwa nyumbani brand zote hapo nazifahamu na zingine hujalist kama pork, klipsch, focal, Dali, T.A, Jamo, SVS, elac, bowers wilkins, etc
Nilizokuwa nawaambia hapo jamaa ni hizi za gari ambazo zinafanyiwa modfy kwa kutumika home.
Zinakuja kufeli kwenye muonekano.
Sijawaona B&W na BeoLab hapa
Uzuri wana makava (Grille)Nimekupata mkuu, ila Hapa naongelea Muonekano / Aesthetics (not just some random speakers)
- I'm a huge Klipsch fan, and I own Klipsch, ila ukiondoa Heritage Line, the rest of the klipsch speakers ni za kawaida sana kimuonekano( I don't like the orange cones)
- Polk are good in their design, better than Klipsch... Ingawa pia hawajafika levels za KEF au Closer Acoustics
- Jamo, Elac and Dali ... yeah, they have good design, hawa wanakaribia design levels za Buchardt na Kanto.
- Svs speakers are UGLY... their subs are good looking ila speakers hapana kwa kweli.
- B&W... Sijawahi kupenda design zao. Ile twiter inayokaa pale kwa juu kama microphone sijawahi kupenda muonekano wake, na overall speaker design siielewagi.
Kwangu mimi, the KINGS of Speaker Aesthetics ni hawa hapa.
- KEF
- Closer Acoustics
- Buchardt
- Kanto
kwangu design kwenye vyombo vya sound[emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu sio kwa ubaya.
Hata mimi ni kichaa wa sound. Changamoto nyingine ya hiz sound zetu ni muonekano tu.
Hahahaha, vijana MNA tabu sanakwangu design kwenye vyombo vya sound
ni kigezo cha mwisho kabisa
cha kwanza ni performance ya sound outuput
kma muonekano nitaupata kwa manzi aisee[emoji41]
😂😂😂noma saana mkuukwangu design kwenye vyombo vya sound
ni kigezo cha mwisho kabisa
cha kwanza ni performance ya sound outuput
kma muonekano nitaupata kwa manzi aisee[emoji41]