Kodtec Speaker systems

Kodtec Speaker systems

Ndio ni matakataka lakini yenye thamani ila napenda kusikiliza ladha ya mziki ninaoupenda na sio mapambo yasio na tija kwangu,
But all in all nikimaliza kujenga kwangu Nina Imani haya matakataka nitayapamba vizuri Ili yaonekane fresh na yenye mpangilio mzuri na wenye soround music ya ukweli ,
Mkuu, tunaenda taratibu huu mziki wa design hii ni wa wachache wanaoelewa.
🙌😂😂😂

Mkuu sio kwa ubaya.
Hata mimi ni kichaa wa sound. Changamoto nyingine ya hiz sound zetu ni muonekano tu.
 
Yeaah sio Kwa ubaya mkuu yaan Mimi shida ni kwamba nimebanana saana ninapopanga ndo maana ya muonekano huo but najitaid niweke mpangilio nikiwa kwangu boss
Shida sio ww ni aina ya miundo na ukavaji.

Speake zingekuwa zinakavywa vizuri. Angalau.

Maana na hata kwa geokim ni hvyo hivyo.
 
Nawapongeza woote waliotoa options za kuwa na hizi aina za sound system maana tangu nilipoikosa kodtec nilikata tamaa kabisa ya kuwa na subwoofer ndani matokeo yake nikapanga kumiliki P.A ndani kitu ambacho sio Cha kawaida na ndo maana nimeamua kuwa na pioneer sounds system Ili nilidhike Kwa kile nilichokisia Kwa akina extrovert na mamaya
 
Pia muundo unachagua Wewe ila kwangu Mimi napenda tuned enclosure ambalo muuzaji akikuwekea spika ndani, na bei yake lazima ipande yaan unaweza airisha kununua but empty tuned enclosures are the best miundo haimati Cha msingi zile frequency pendwa za deep bass ndo nyumban pake hapo.
 
Kinyonge sana mzee.

Ila 2.5M kwenye music dah.

Napata 43" Hisense 4K Smart (650k)
Napata Hisense 2.1 HS218 Soundbar (400k)
Chenji napata friji, cooker, na Washing machine za Hisense.

Dah tutafute hela.
Tutafute hela mkuu. Sasa soundbar ya 400k itakupa maajabu gani kwa mfano?

It's just an average audio system ya kukupa sauti ya kawaida, better than your TV sound...ila hakuna sound ya maana ya 400k.

2.5M kwa music system zinazoeleweka ni bei ya kawaida sana.

Tutafute Hela
 
Shida sio ww ni aina ya miundo na ukavaji.

Speake zingekuwa zinakavywa vizuri. Angalau.

Maana na hata kwa geokim ni hvyo hivyo.
Kati ya equipments zenye muonekano mzuri basi ni speakers.

Tatizo ni sisi wabongo hatuzijui (tunajua sony na lg tu)

Moja ya manufacturers wanaotengeneza speakers zenye design nzuri ni hawa hapa.

[emoji116]

  • KEF
  • Kanto
  • Clouser Acoustic
  • Buchardt
  • Triangle
  • Dynaudio
  • Q acoustic

Check Google utaziona
 
Hizo zote hapo umelist ni mahususi kwa nyumbani brand zote hapo nazifahamu na zingine hujalist kama pork, klipsch, focal, Dali, T.A, Jamo, SVS, elac, bowers wilkins, etc

Nilizokuwa nawaambia hapo jamaa ni hizi za gari ambazo zinafanyiwa modfy kwa kutumika home.
Zinakuja kufeli kwenye muonekano.
 
Sijawaona B&W na BeoLab hapa
 
Nimekupata mkuu, ila Hapa naongelea Muonekano / Aesthetics (not just some random speakers)

- I'm a huge Klipsch fan, and I own Klipsch, ila ukiondoa Heritage Line, the rest of the klipsch speakers ni za kawaida sana kimuonekano( I don't like the orange cones)

- Polk are good in their design, better than Klipsch... Ingawa pia hawajafika levels za KEF au Closer Acoustics

- Jamo, Elac and Dali ... yeah, they have good design, hawa wanakaribia design levels za Buchardt na Kanto.

- Svs speakers are UGLY... their subs are good looking ila speakers hapana kwa kweli.

- B&W... Sijawahi kupenda design zao. Ile twiter inayokaa pale kwa juu kama microphone sijawahi kupenda muonekano wake, na overall speaker design siielewagi.

Kwangu mimi, the KINGS of Speaker Aesthetics ni hawa hapa.

  • KEF
  • Closer Acoustics
  • Buchardt
  • Kanto
 
Sijawaona B&W na BeoLab hapa

- BeoLab ni mnyama mkali sana. Nilimsahau kwenye list... Actually kwenye design/Aesthetics yeye ni NAMBA 1 halafu wengine ndio wanafuata.

- B&W sijawahi elewa design zao kwa kweli.
Najua ni speaker kali sana kwenye performance, ila sijui kwa nini hazinivutiagi kimuonekano.
 
Nimekupata mkuu, ila Hapa naongelea Muonekano / Aesthetics (not just some random speakers)

- I'm a huge Klipsch fan, and I own Klipsch, ila ukiondoa Heritage Line, the rest of the klipsch speakers ni za kawaida sana kimuonekano( I don't like the orange cones)

- Polk are good in their design, better than Klipsch... Ingawa pia hawajafika levels za KEF au Closer Acoustics

- Jamo, Elac and Dali ... yeah, they have good design, hawa wanakaribia design levels za Buchardt na Kanto.

- Svs speakers are UGLY... their subs are good looking ila speakers hapana kwa kweli.

- B&W... Sijawahi kupenda design zao. Ile twiter inayokaa pale kwa juu kama microphone sijawahi kupenda muonekano wake, na overall speaker design siielewagi.

Kwangu mimi, the KINGS of Speaker Aesthetics ni hawa hapa.

  • KEF
  • Closer Acoustics
  • Buchardt
  • Kanto
Uzuri wana makava (Grille)
 
[emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu sio kwa ubaya.
Hata mimi ni kichaa wa sound. Changamoto nyingine ya hiz sound zetu ni muonekano tu.
kwangu design kwenye vyombo vya sound

ni kigezo cha mwisho kabisa

cha kwanza ni performance ya sound outuput

kma muonekano nitaupata kwa manzi aisee[emoji41]
 
Back
Top Bottom