Koffi Olomide ahukumiwa miezi 18 jela kwa kosa la kumshambulia Dansa wake

Koffi Olomide ahukumiwa miezi 18 jela kwa kosa la kumshambulia Dansa wake

Huyo anafungwa sababu ni mpinzani wa Kabila hata kwenye wimbo wake wa Ekotite Amempa airtime Vital Kamil moja ya wapinzani wakubwa wa Rais Jose Kabila. Hasa kipindi hiki wapinzani wanaonja joto ya jiwe Congo.

Africa hamna rule of law wala democracy at least there should be filed a lawsuit in court.
 
Amekiuka masharti na miko au kuna damu kama si laana vinamuandama...hatatumikia kifungo chote atatoka kwa msamaha wa parole lakini hii yaweza kuwa mwanzo wa mwisho wake
I was thinking the same mshana kuna mcongo rafiki yangu alinisimulia jinsi wasanii wahuko walivo washirikina, pia wengi wamefika walipo kwa damu za watu its obvious lazima watoe hesabu ya matendo yao. Naona ni mwanzo wake kuelekea pabaya huyu imagine teke tu!
 
Kesi ikiwa na ushahidi kamili hakuna haja ya kuipiga kalenda, soma toa hukumu na nyingine zisikilizwe, sio bongo mtu kaua mwaka 2014 ushahidi uko lakini kesi miaka 2 mble inasomwa tuuu na kupigwa kalenda kwa ajili gani?!
 
Duh!! Quarter Latin itakuwa chini ya cendy au boure mpela?
 
Hata wewe unaamini habari hizi? Hiyo Court ipo North Korea? Nitakuwa member wa mwisho hapa JF kusadiki hili.

Ngumu sana kuamini aisee.

Kosa lifanyike Kenya halafu mtu aamriwe kufungwa Congo bila hata due process?

Natumai hatujafikia hicho kiwango cha huo upumbavu aisee.
 
Atakuwa amejifunza akitoka huko.
Hasira za mkizi huitwa na bro wangu hata ugomvi gani utokee wa mkewe na WiFi zake huwa haingilii yani had ugomvi umeisha maana umekosa support

Huyo ndio mwanaume sasa, sio unakuta mtu anajibiwa unauliza wewe n sababu, acha wafu wazikane wenyewe.
 
Hii thread ni IQ test nzuri sana ya kuzijuwa akili za Watanzania, ndio maana viongozi wenu wana uthubutu wakuwaambia tunaamia Dodoma bila kuwahoji kwa bajeti ipi na bunge la bajeti limeshapitisha bajeti tayari?
 
Back
Top Bottom