Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mkuu acha tu afungwe amejisahau sana.Huwezi kufanya kitu kama hicho tena in public....no way ngoja anyoooke
Kwa hiyo due process haina maana kabisa, siyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu acha tu afungwe amejisahau sana.Huwezi kufanya kitu kama hicho tena in public....no way ngoja anyoooke
Africa immposible is possible!Bado sijaamini hizi habari, labda waandishi wa hili gazeti ndio wale wale. Inakuwaje akamatwe jana leo tu afungwe?
Huko congo wanawake c ndio wanabakwa kila uchwao!imekuaje huyu kumpiga kateke kamoja tu afungwe?
I was thinking the same mshana kuna mcongo rafiki yangu alinisimulia jinsi wasanii wahuko walivo washirikina, pia wengi wamefika walipo kwa damu za watu its obvious lazima watoe hesabu ya matendo yao. Naona ni mwanzo wake kuelekea pabaya huyu imagine teke tu!Amekiuka masharti na miko au kuna damu kama si laana vinamuandama...hatatumikia kifungo chote atatoka kwa msamaha wa parole lakini hii yaweza kuwa mwanzo wa mwisho wake
Hafu ugomvvi wa wanawake huwa wanajuana wenyewe sasa mwanaume kuingilia ni kuchochea moto tuNa huyu Cindy wake anaempa wazimu atakuwa anatafunwa na wengine, haahaa mwanaume unaingilia ugomvi wa wanawake kisa umfurahishe mupenzi acha aonje maisha ya miezi 18 bila demu pembeni yake.
Atakuwa amejifunza akitoka huko.Hafu ugomvvi wa wanawake huwa wanajuana wenyewe sasa mwanaume kuingilia ni kuchochea moto tu
Hata wewe unaamini habari hizi? Hiyo Court ipo North Korea? Nitakuwa member wa mwisho hapa JF kusadiki hili.Hakuna hata kesi mahakamani?
Ni kutoa amri tu...kamata funga huyo?
Only in Africa!
Hata wewe unaamini habari hizi? Hiyo Court ipo North Korea? Nitakuwa member wa mwisho hapa JF kusadiki hili.
Ni kwa nini Watanzania ni watu wakusadikishwa ujinga kirahisi hivi?Ngumu sana kuamini aisee.
Kosa lifanyike Kenya halafu mtu aamriwe kufungwa Congo bila hata due process?
Natumai hatujafikia hicho kiwango cha upumbavu aisee.
Hasira za mkizi huitwa na bro wangu hata ugomvi gani utokee wa mkewe na WiFi zake huwa haingilii yani had ugomvi umeisha maana umekosa supportAtakuwa amejifunza akitoka huko.

Huyo ndio mwanaume sasa, sio unakuta mtu anajibiwa unauliza wewe n sababu, acha wafu wazikane wenyewe.Hasira za mkizi huitwa na bro wangu hata ugomvi gani utokee wa mkewe na WiFi zake huwa haingilii yani had ugomvi umeisha maana umekosa support