Koffi Olomide umenishinda tabia

Koffi Olomide umenishinda tabia

Na utakuta hapo full si chini ya milion 8
298830068_215535984230517_4366815143480960618_n.jpg
 
Amenikatisha sana mayenu huyu enzi za Lui....!! Nilikuwa natoroshwa kwenda kulisskata rhumba lake......!

Acha azeeke na fashion sasa tupumzike....!😊
Mimi bado ananisebenesha haswa.. shamukwale ilikuwaga hatari.. bhosi ya mboka hafai.

Hivi ni kweli kuwa kafungwa?
 
Back
Top Bottom