Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Na utakuta hapo full si chini ya milion 8
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na utakuta hapo full si chini ya milion 8
Hii itakua million 50 huko 😃
Hebu jikumbushie kidogo zama zakoAmenikatisha sana mayenu huyu enzi za Lui....!! Nilikuwa natoroshwa kwenda kulisskata rhumba lake......!
Acha azeeke na fashion sasa tupumzike....!😊
Atakuwa amevaa nguo za Adam na Eva baada ya kula tundaKuna siku atatembea uchi huyu.
I miss you my old school bad girlHii itakua million 50 huko 😃
Swali la msingi sana hiliHivi huwa anavaa ilivapige picha au anaweza kushidia nazo hata masaa 3 hivi[emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi bado ananisebenesha haswa.. shamukwale ilikuwaga hatari.. bhosi ya mboka hafai.Amenikatisha sana mayenu huyu enzi za Lui....!! Nilikuwa natoroshwa kwenda kulisskata rhumba lake......!
Acha azeeke na fashion sasa tupumzike....!😊
Mideli mideli mideli..!!umenikumbusha Chimvundu
Oooh simba nyanaume, ahsante kwa kunimiss najiona nna bahati sana kumisiwa na weweI miss you my old school bad girl
Bahati unayo kubwa mno, tena una upako, kibali, na neema.Oooh simba nyanaume, ahsante kwa kunimiss najiona nna bahati sana kumisiwa na wewe
Wacongo Ukiondoa tu Lile vumbi lao,
Hawana kingine Cha maana kuoffer ndani ya East Africa community[emoji3525]
Kwa matukio maalum tuu kama kupiga picha show nkHivi huwa anavaa ilivapige picha au anaweza kushidia nazo hata masaa 3 hivi[emoji3][emoji3][emoji3]
noma sanaMideli mideli mideli..!!
za kuuzia nyagoKwa matukio maalum tuu kama kupiga picha show nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Congo ni biashara kubwaWacongo Ukiondoa tu Lile vumbi lao,
Hawana kingine Cha maana kuoffer ndani ya East Africa community[emoji3525]
Ukiokota begi la kofii unalirudisha tu kama lilivyo