Yakaishaje yani mi sijaelewa hapoAkaondoka kweli ila wazazi wakasuluhisha yakaisha
Mimi sio wewe kwahy we walee tu wakikua watakusaidia hao wema hauoziWe unaweza?
Akili za Bangi hizi😅Pole mkuu walee tu hao malaika Mtoto ni wa kitanda mzinifu lake jiwe
Umeuruka mtego ulioutega mwenyewe😃Mimi sio wewe kwahy we walee tu wakikua watakusaidia hao wema hauozi
Yaani mwanamke akuropokee kwamba watoto sio wako halafu eti wazee wasuluhishe? Kwahiyo wazee wakishasuluhisha watoto wanakua wakwako sasa?Hujawahi kuona wazee wanasuluhisha ndoa iliyokufa ikafufuka upya tena jwa kishindo?
Watakwambia kitanda hakizai haramu,baba yako nae atasema we sio mtoto wake ila kakuleaYaani mwanamke akuropokee kwamba watoto sio wako halafu eti wazee wasuluhishe? Kwahiyo wazee wakishasuluhisha watoto wanakua wakwako sasa?
Kwa Nini uwanyonge?achana Kwa amani na siyo kuua watoto wasiohusika na usaliti wa mke wakoUgomvi ugomvi piga ngumi piga mateke nikamuotea kofi moja tu
Akapiga kelele hatari na kuropoka ,naondoka na wanangu,nikamwambia haondoki mtoto hapa akajibu,thubutu......naondoka nao, kwanza sio watoto wako,una jeuri ya kuzaa watoto wazuri hivyo,hujioni hilo komwe.
Akaondoka kweli ila wazazi wakasuluhisha yakaisha,
Kwenye kikao cha usuluhishi mke anasema watoto ni wa mumewe ila aliongea tu kwa hasira kumrusha roho jamaa, kupima DNA wazee wamesema aachane nayo.
Sasa amerudi na wale watoto,ndoa ngumu jamani,ikitokea mtoto akadhurika suspect number 1 ni mimi
NB sio mimi ila ni mtu yamemkuta,mimi ningesha wanyonga hao machalii
Kwahiyo we ukiambiwa hivyo basi unaishiwa nguvu unamrudisha mwanamke ndani 🤣🤣🤣Watakwambia kitanda hakizai haramu,baba yako nae atasema we sio mtoto wake ila kakulea
Mbaya zaidii utahisi labda hauna kizazi