Kofi moja tu akasema watoto sio wangu

Kofi moja tu akasema watoto sio wangu

Mkuu haujakutana na vikao vya usuluhishi wewe!
Unaujua ushauri nasaha?
Unalainishwa na unasamehe na watoto unalea.
Tunatofautiana sana mkuu.

Kwanza kitendo cha kukubali kukaa kikao cha kusuluhishwa kwa kesi kama hiyo ni dalili ya udhaifu. Hiyo kesi inatakiwa iwe iliishia pale ulipoambiwa watoto sio wako!
 
Tunatofautiana sana mkuu.

Kwanza kitendo cha kukubali kukaa kikao cha kusuluhishwa kwa kesi kama hiyo ni dalili ya udhaifu. Hiyo kesi inatakiwa iwe iliishia pale ulipoambiwa watoto sio wako!
Kuna ndoa nyingi ziko zinadumu sababu ya hawa wazee wa baraza,juna Rais mstaafu haoa nchini nasikia wazee wa chama walimwambua rudiana na mkeo tukuoe nchi akamrudia baada ya kuwa wametengana miaka kibao
 
Hata ningekua mimi ningekubali, maana hiyo ni biashara. Na hapo ni kwamba mnarudiana ila kila mtu anaendelea na mbanga zake, na mwisho wa siku wote mnanufaika. Sio hii ya hawa ambayo haina kichwa wala miguu
 
Lakini hiyo kauli ni nzito sana,ila vumilia ndio maana ya kuishi kwa shida na raha,ila next time mkizinguana na akarudia tena jiongeze kwa mkemia
 
Tunatofautiana sana mkuu.

Kwanza kitendo cha kukubali kukaa kikao cha kusuluhishwa kwa kesi kama hiyo ni dalili ya udhaifu. Hiyo kesi inatakiwa iwe iliishia pale ulipoambiwa watoto sio wako!
Matamshi hayo yanaweza kuwa ya kweli ama ni ligi ya ugomvi na huo kimsingi ni ulikuwa ni ugomvi.

Mambo hayo huwa hayaishii kwenye ugomvi kama unavyodai.

Mambo ya ugomvi wa wanandoa huishia kwa wenyewe kuyaongea na kusameheana ama kwa mabaraza ya usuluhishi ya ukoo, kijiji(Kata)ama mahakamani.

Ukiitwa na usiende, jambo hilo husogezwa mbele hadi mahakamani kwa kufuata ngazi za kisheria.

Ukiitwa mahakamani kwa samansi na usiende, weweni mtu mzima unaelewa ni nini hufuata.

Kwa hiyo mkuu ndoa hauwezi kuivunja kibabe kwa jazba, hata kama wewe ni mbabe kweli.

Ujanja hapo ni kutooa au kuishi na mwanamke kiuhawara(bila ndoa), lakini maisha hayo pia yana changamoto zake, tena kubwa.
 
Ugomvi ugomvi piga ngumi piga mateke nikamuotea kofi moja tu
Akapiga kelele hatari na kuropoka ,naondoka na wanangu,nikamwambia haondoki mtoto hapa akajibu,thubutu......naondoka nao, kwanza sio watoto wako,una jeuri ya kuzaa watoto wazuri hivyo,hujioni hilo komwe.

Akaondoka kweli ila wazazi wakasuluhisha yakaisha,
Kwenye kikao cha usuluhishi mke anasema watoto ni wa mumewe ila aliongea tu kwa hasira kumrusha roho jamaa, kupima DNA wazee wamesema aachane nayo.

Sasa amerudi na wale watoto,ndoa ngumu jamani,ikitokea mtoto akadhurika suspect number 1 ni mimi

NB sio mimi ila ni mtu yamemkuta,mimi ningesha wanyonga hao machalii
Wekweli Mpuuzi Uwanyonge
Unauhakika gan naww babako ni kweli babako
 
Ndoto zingine bana ila namshukuru watoto wangu huwa natoa photocopyWote komwe la kwangu kabisa
Hahaha unadhani nani huwa anatoa watoto wasiofanana nae?

Watoto watafanana na wewe mpaka pale dna itakapokupa ukweli ndio utaanza kuona tofauti ya makomwe yenu.

Ni kama vile ukimwi, kila mtu hana labda kwa wengine.
 
Back
Top Bottom