Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mkuu haujakutana na vikao vya usuluhishi wewe!Yaani mwanamke akuropokee kwamba watoto sio wako halafu eti wazee wasuluhishe? Kwahiyo wazee wakishasuluhisha watoto wanakua wakwako sasa?
Tunatofautiana sana mkuu.Mkuu haujakutana na vikao vya usuluhishi wewe!
Unaujua ushauri nasaha?
Unalainishwa na unasamehe na watoto unalea.
Kuna ndoa nyingi ziko zinadumu sababu ya hawa wazee wa baraza,juna Rais mstaafu haoa nchini nasikia wazee wa chama walimwambua rudiana na mkeo tukuoe nchi akamrudia baada ya kuwa wametengana miaka kibaoTunatofautiana sana mkuu.
Kwanza kitendo cha kukubali kukaa kikao cha kusuluhishwa kwa kesi kama hiyo ni dalili ya udhaifu. Hiyo kesi inatakiwa iwe iliishia pale ulipoambiwa watoto sio wako!
Hata ningekua mimi ningekubali, maana hiyo ni biashara. Na hapo ni kwamba mnarudiana ila kila mtu anaendelea na mbanga zake, na mwisho wa siku wote mnanufaika. Sio hii ya hawa ambayo haina kichwa wala miguuKuna ndoa nyingi ziko zinadumu sababu ya hawa wazee wa baraza,juna Rais mstaafu haoa nchini nasikia wazee wa chama walimwambua rudiana na mkeo tukuoe nchi akamrudia baada ya kuwa wametengana miaka kibao
Matamshi hayo yanaweza kuwa ya kweli ama ni ligi ya ugomvi na huo kimsingi ni ulikuwa ni ugomvi.Tunatofautiana sana mkuu.
Kwanza kitendo cha kukubali kukaa kikao cha kusuluhishwa kwa kesi kama hiyo ni dalili ya udhaifu. Hiyo kesi inatakiwa iwe iliishia pale ulipoambiwa watoto sio wako!
Kosa lao ni nin?mimi ningesha wanyonga hao machalii
Wekweli Mpuuzi UwanyongeUgomvi ugomvi piga ngumi piga mateke nikamuotea kofi moja tu
Akapiga kelele hatari na kuropoka ,naondoka na wanangu,nikamwambia haondoki mtoto hapa akajibu,thubutu......naondoka nao, kwanza sio watoto wako,una jeuri ya kuzaa watoto wazuri hivyo,hujioni hilo komwe.
Akaondoka kweli ila wazazi wakasuluhisha yakaisha,
Kwenye kikao cha usuluhishi mke anasema watoto ni wa mumewe ila aliongea tu kwa hasira kumrusha roho jamaa, kupima DNA wazee wamesema aachane nayo.
Sasa amerudi na wale watoto,ndoa ngumu jamani,ikitokea mtoto akadhurika suspect number 1 ni mimi
NB sio mimi ila ni mtu yamemkuta,mimi ningesha wanyonga hao machalii
Hahaha unadhani nani huwa anatoa watoto wasiofanana nae?Ndoto zingine bana ila namshukuru watoto wangu huwa natoa photocopyWote komwe la kwangu kabisa
Na hata kama ni kweli,je watoto wana.kosa gani,ni upuuziWekweli Mpuuzi Uwanyonge
Unauhakika gan naww babako ni kweli babako
Wazee mbona mtoto akiwa si wako utamjua tu? Mnakwama wapi?Tunatofautiana sana mkuu.
Kwanza kitendo cha kukubali kukaa kikao cha kusuluhishwa kwa kesi kama hiyo ni dalili ya udhaifu. Hiyo kesi inatakiwa iwe iliishia pale ulipoambiwa watoto sio wako!