Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Mkuu Mzee Mwanakijiji , kunapotokea injustices, aggression or oppression, unapokaa kimya, maana yake ni ume side na the aggressors, the oppressors to support the injustices.Duh...ninapokaa kimya nina sababu...
Aisee, Magufuli alishakufa mzee.
Naona umeshindwa kabisa kuzoea.
Kwahiyo sasa unataka kusemaje?
Watakufa wanasiasa uchwara legend never dieAisee, Magufuli alishakufa mzee.
Naona umeshindwa kabisa kuzoea.
Kwahiyo sasa unataka kusemaje?
Sijui ni mimi tu, macho yangu au masikio yangu? Huku Bandari mbona kama kunaumiza kichwa sana Marais? Rais Samia jana kazungumza kama Magufuli, Kachukua hatua za papo hapo kama enzi za Magu na anajitangaza kusimama na wananchi kama Magu alivyokuwa anajitangaza kusimama na wanyonge. SSa anajitengenezea maadui wa ndani? Ameanza kuona nini? Maana maneno yake ukiyawekea sauti ya Magufuli hutaweza juona tofauti...
Waliomuunga mkono na kusita wapate nguvu mpya?
Naona unabwabwaja tu utapaaje kiumi ndugi ili halia huna pesa ya kuunedesha nchi kuggaramikia mega project .huku watu wakijipigia tu mahela hapo bandarini na ukwasi wa kutisha ili kule jikijijin hupeleki hata panadolUongozi si vita. Angejikita katika haki zilizozikwa awamu ya tano ilikuwa inatosha sana.
Taifa lingepona, tungekuwa wamoja, tukapaa kiuchumi na mi 5 mingine ya haki ingemhusu.
Kumbe ufisadi mkubwa ulianzia awamu ya tano ya Bwana Chato😁😁😁
View attachment 2033278
Aisee Umepiga penyewe,Mwendazake alitufanya wajinga ...halafu eti bado tunaye Majaliwa😧😧Kweli jamii forum ya zama hizi imechoka sana. Yaani Mzee Mwanakijiji ndio wakuja na mada nyepesi nyepesi za namna hii?
Yaani hawezi kuandika tena mada mpaka amuingize marehemu Magufuli na kumpamba?
Okay, turudi kwenye mada, bado sijapata logic yako ni nini?
Unataka kusema mama kwa sasa anamuiga Magufuli hivyo tumuunge mkono au tumkosoe?
Sote tunajua, tatizo la bandari ni tatizo la kimfumo (limetengenezwa na linalindwa na serikali ya CCM) na liko chini ya usimamizi wa mamlaka ya rais kwa kuwa karibu theluthi moja ya mapato ya nchi ya kila mwezi ya TRA yanapitia pale. Na sote tunakumbuka lilikuwa ni eneo la mahususi la kufanyia siasa za kiusanii katika utawala wa Magufuli (kumbuka issue za makontena ya makinikia, kuokotwa vichwa vya treni na mamia ya magari yasiyokuwa na wenyewe nk, na waokotaji walikuwa ni Magufuli na Majaliwa huku wakiwa wamezungukwa na kamera za kila kituo cha habari hapa Tz chini ya mwamvuli wa ziara za kushtukiza!)
Naona watu wa nje wanakuja kwenye shamba Lao la bibi .kama January alovyosaini ule mkataba wa software ya tenesco kwa bilion 70Mambo ni moto mkuuView attachment 2033279
Sijui ni mimi tu, macho yangu au masikio yangu? Huku Bandari mbona kama kunaumiza kichwa sana Marais? Rais Samia jana kazungumza kama Magufuli, Kachukua hatua za papo hapo kama enzi za Magu na anajitangaza kusimama na wananchi kama Magu alivyokuwa anajitangaza kusimama na wanyonge. SSa anajitengenezea maadui wa ndani? Ameanza kuona nini? Maana maneno yake ukiyawekea sauti ya Magufuli hutaweza juona tofauti...
Waliomuunga mkono na kusita wapate nguvu mpya?
Kabisa mkuu.wanachotaka Ni kulazimisha kuwa waliopita hakuna chochote walichofanya au Kama tulikuwa katika ukoloni kabla ya awamu ya tano.Wanalazimisha mno kila kitu sifa apewe Magufuli...
As if kabla ya Magufuli Taifa halikuwepo kabisa.. ..
Anayopitia Samia hata Mwinyi alipitia..
Enzi ya Mwinyi ilikuwa kila kitu Nyerere..
Utasema Nyerere aliacha nchi imeendelea kama Ulaya..
Nongwa Tu hakuna lolote