SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Hakufanikiwa kuokota vichwa vya treni kama mtangulizi wake?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakufanikiwa kuokota vichwa vya treni kama mtangulizi wake?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Umeongea vema sana. Angewasikiliza wapinzani watamwambia kweli, kweli tupu (aucheue huo ukweli) na itamsaidia kuliko"wenzake" ambao wanatazama midomo yake inacheza vipi na kufuatishia humo humo kulinda matumbo yao!Uongozi si vita. Angejikita katika haki zilizozikwa awamu ya tano ilikuwa inatosha sana.
Taifa lingepona, tungekuwa wamoja, tukapaa kiuchumi na mi 5 mingine ya haki ingemhusu.
Naunga mkono 100% wawekwe wazungu tuone itakuwaje, maana hapo naona kansa imeshamiri, " ugonjwa usiopona"!!Kama vp bandarini waweke wazungu..labda watadhibiti wizi. Huo ulinganifu wa Samia na Magufuli sijui kama ni wa muhimu kwa sasa.
Umeongea vema sana. Angewasikiliza wapinzani watamwambia kweli, kweli tupu (aucheue huo ukweli) na itamsaidia kuliko"wenzake" ambao wanatazama midomo yake inacheza vipi na kufuatishia humo humo kulinda matumbo yao!
Mfano the whole world wanajua kuwa Mbowe anaonewa na amebambikiwa kesi, bado anaacha ujinga kama huo unapepea...."wenzake" wanamwambia acha Mahakama itoe hukumu wakati wanajua fika kuwa ni trumped charges.... anawasikiliza.
HahahahaKule kwenye Tanzanite kuna kina Nani?
Kishazikwa huyo!Aisee, Magufuli alishakufa mzee.
Naona umeshindwa kabisa kuzoea.
Kwahiyo sasa unataka kusemaje?
na kweli watamruka atabaki peke yake! Kuna mabo mengine unaamua kama wewe... at some times kama kiongozi unaipuuza GROUP POWER, unaamua wewe kama wewe! Kama Nyerere enzi za mwanzo wa uhuru, wabunge walitaka kujiongezea mishahara akakataa, wakawa kama wanataka kumsusa. Akasema hili silikubali navunja Bunge twende kwa wananchi watutolee hukumu. Wakaona kurudi bungeni itakuwa mtihani maana Nyerere alipiga penyewe. Wakanywe na maisha yakaendelea.Mbaya zaidi hao anaodhani ni wenzake hili la Mbowe watakuja kumruka wakati atakuwa hana pa kusemea tena.
Kwani Bashiru huyu na kimya hiki, ni kuwa leo amekuwa bubu?
Aisee, Magufuli alishakufa mzee.
Naona umeshindwa kabisa kuzoea.
Kwahiyo sasa unataka kusemaje?
Mzee umeongea kishabiki sana,ni kwa nini usikubali kuwa huyo Magufuli hayupo kwa sasa?Sijui ni mimi tu, macho yangu au masikio yangu? Huku Bandari mbona kama kunaumiza kichwa sana Marais? Rais Samia jana kazungumza kama Magufuli, Kachukua hatua za papo hapo kama enzi za Magu na anajitangaza kusimama na wananchi kama Magu alivyokuwa anajitangaza kusimama na wanyonge. SSa anajitengenezea maadui wa ndani? Ameanza kuona nini? Maana maneno yake ukiyawekea sauti ya Magufuli hutaweza juona tofauti...
Waliomuunga mkono na kusita wapate nguvu mpya?
Kwahiyo magu alikuwa anafanya auditing, mambo ya kimfumo, na masuala ya kiCAG Mwenyewe pale bandarini akikesha hapo?Ukiwa Rais wa Taifa hili ukilala unatakiwa uwaze sehemu hizi bandari,wizara fedha ,wizara madini Sasa yeye amelala fofofo anasubiri report kuletewa Samia ni Kama mgeni kwenye nyumba hafai hafai hafai kabisa.ndio maana JPM akilala akipata maruweruwe usiku anaamukia bandarini kimyakimya.
In low tone! make it louder.Duh...!.
P
na kweli watamruka atabaki peke yake! Kuna mabo mengine unaamua kama wewe... at some times kama kiongozi unaipuuza GROUP POWER, unaamua wewe kama wewe! Kama Nyerere enzi za mwanzo wa uhuru, wabunge walitaka kujiongezea mishahara akakataa, wakawa kama wanataka kumsusa. Akasema hili silikubali navunja Bunge twende kwa wananchi watutolee hukumu. Wakaona kurudi bungeni itakuwa mtihani maana Nyerere alipiga penyewe. Wakanywe na maisha yakaendelea.
IF IT WERE ME, LA MBOWE NINGELITOLEA MAAMUZI, BILA CONSULTATION, LABDA DPP,
Kila MTU atakufa and then atazikwa including you and me suala hilo halina kuchekana, hata ukicheka vipi ujue sooner or later will be our turn, please tujadili vitu vitakavyo lisaidia taifa, that's it !!Kishazikwa huyo!
Usiwaamini CCM kamwe! Wakiwa kwenye camera na wakiwa wenyewe huwa ni Watu wawili tofautiSijui ni mimi tu, macho yangu au masikio yangu? Huku Bandari mbona kama kunaumiza kichwa sana Marais? Rais Samia jana kazungumza kama Magufuli, Kachukua hatua za papo hapo kama enzi za Magu na anajitangaza kusimama na wananchi kama Magu alivyokuwa anajitangaza kusimama na wanyonge. SSa anajitengenezea maadui wa ndani? Ameanza kuona nini? Maana maneno yake ukiyawekea sauti ya Magufuli hutaweza juona tofauti...
Waliomuunga mkono na kusita wapate nguvu mpya?