Koh Koh Koh.. Mbona Rais Samia Kama Kayaona ya Magufuli?

Hongera kwa kununua simu mpya, naona hizo spelling errors zinadhibitisha upya huo.
nabwabwaja tu utapaaje kiumi ndugi ili halia huna pesa ya kuunedesha nchi kuggaramikia mega project .huku watu wakijipigia tu mahela hapo bandarini na ukwasi wa kutisha ili kule jikijijin hupeleki hata panadol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vile vichwa vya treni vya kuokota, walivipeleka wapi?
 
Aisee, Magufuli alishakufa mzee.

Naona umeshindwa kabisa kuzoea.

Kwahiyo sasa unataka kusemaje?
Kabisa. Mwanakijiji alijivisha miwani ya mbao wakati Magufuli alipokuwa hai, na akagoma kabisa kuona udhalimu uliokuwa unafanyika, na sasa kajitoa ufahamu kabisa, hataki kukubali kuwa Magufuli ameshafariki.
 
Nakubaliana na wew kabisa namkumbuka sana jpm alimtumbua kangia na akamwambia ukweli .mama anajiona mkali eti kwa kutoa hii adhabu hapo ndo mwisho wake wa kufikiria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wew ndo mahakama .unawezaje kumsemea mbowe ili hali haulali naye Aushi naye .mbowe ana privacy zake ww unazijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbaya zaidi hao anaodhani ni wenzake hili la Mbowe watakuja kumruka wakati atakuwa hana pa kusemea tena.

Kwani Bashiru huyu na kimya hiki, ni kuwa leo amekuwa bubu?
Nampenda sana Bashiru amekuwa kimya sana ni jamaa mwenye busara sana acha wanafiki waseme yeye ameamua kuachana na siasa uchwara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti zile crane alizosema makamba zinatoka nje ya nchi hazijafika tu jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee, Magufuli alishakufa mzee.

Naona umeshindwa kabisa kuzoea.

Kwahiyo sasa unataka kusemaje?
Yule alikua legendary hata kama hayupo. Au ndio nyie mpo bandari hapo mnacheza na mifumo ya bandarini kuingiza mizigo yenu, maana mnakuaga na hasira
 
Weka wanajeshi bandarini kwisha habari
Mbona wanajeshi wanalinda mgodi wa mererani na madini yanibiwa

Suluh ya matatizo yetu
Watanzania ni katiba mpya

Watu wameiba billions of money alafu unawafukuza kazi Sasa nani anaepata hasara?

Katiba mpya#
Back Tanganyika#
 
Wamezidi uyo Magu sijui wanadhani alikuwa Nini??.... inachock ina irritate na inatapisha
 
Magufuli ni best president of our times. Haepukiki kama maji.
Wahuni watakubali hayo? Mtu aliwanyima ulaji waliouzoea,alizuia uuzaji wa madawa ya kulevya,watu wanapesa lkn bila madawa na uongozi serikalini wanaona wamedhulumiwa.
 
Asante
 
JPM is died,burried and rotten...

The earlier u get used to it the better for ur health.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…