Komando mstaafu na aliyeshriki Jaribio la Mapinduzi dhidi ya Nyerere mwaka 1982, Christopher Kadego alitekwa na kuuwawa kwa amri ya Rais Magufuli

Anayepaswa kukanusha hayupo so inabaki kuwa hadithi ya upande mmoja
 
Watu wanachanganya historia na histohisia... namfahamu mwandishi mmoja bingwa wa histohisia...
 
Huyu Mama si alikuwa ni Makamu wake na alikuwa kwenye Serikali ya Magufuli au unataka kusema kazuka tu from nowhere?!
Tunajadiliana kuhusu kilichoandikwa na kabendera nje ya hapo unayo ya moyoni tusiyoyajua.
 
Hata Uwaziri Mkuu haukumfaa,yeye alistahili kuishia ngazi ya Waziri tu.
 
Ondoa ujinga huo
 
Watu wanachanganya historia na histohisia... namfahamu mwandishi mmoja bingwa wa histohisia...
Huyu nae sio mwandishi ila ni mwana histohisia (msaliti na mnafiki) aliyebeba siri nyingi kuhusiana na kifo chake, nae hawakumuachia.

huyu kibendera nae akishamaliza kutumika kujaza AI uwongo, nae hatasalimika.
Ni miongozo na kanuni zao wenyewe, hatasalimika. Sasa sijui watamsingizia nani.
 
Kadego alikuwa rafiki yangu,nilimfahamu kupitia Kapten Maganga.Nikikutana naye mara kadhaa baadaye nikawa sympathy.Kumbe lile jamaa lilipta naye
 
Upo ukakasi mwingi sana hapa.

Magufuli akapenyezewa taarifa kuwa Kadego alikuwa ni Komando mstaafu hatari na aliyeshiriki jaribio la kumpindua Nyerere.
Magufuli aliyekuwa na miaka karibia sawa na Kadego Eti ndio amtambue Kadego kuwa ni mmoja wa Makomandoo walioshiriki jaribio la kumpindua Nyerere? Miaka tele baada?

Kweli mtu ambaye alikuwa Serikalini kupitia wizara mbalimbali asijue Kadego alishiriki katika Uasi, hata kwa vinongo'onezo?

Mimi Syllogist nilikuwa najua Kadego alishiriki na sikuwa serikalini.

Aaaah Kabendera! Hapo umebugi
 
Hii habari ya Kadego nimeifupisha, ila kwenye kitabu ipo kwa urefu. Inawezekana nimeifupisha sana ikaleta mkabganyiko ila haiondoi ukweli kuwa Kadego aliuwawa kwa oda ya Jiwe kwa mujibu wa Mwandishi
Labda alikufa kwenye mkanyagano wa kuuaga mwili wa Magufuli maana siku ile walikufa watu 45 akiwemo na yeye komando Kadego..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…