Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakisoma nipo chapter 9 inatishaa saaNaendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President.
Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere.
Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza la Segerea wakati alipopewa kesi ya uhujumu uchumi, utakatishaji wa fedha pamoja ukwepaji kodi. “ Nilikuwa selo wakati nilipopewa kikaratasi kutoka kwa mtu asiyejulikana akiniambia kuwa Chistopher Kadego alikamatwa siku 3 nyuma kabla ya kukamatwa kwangu kisha kupigwa risasi na watu wasiojulikana.”
Kabendera anaendelea kufafanua; Kadego nilimfahamu kama miaka 15 iliyopita na alikuwa mtu mwema, sema kitendo chake kushiriki katika makundi mbalimbali ya waasi kama lile kundi la Kabila katika Vita dhidi ya Mobutu mwaka 1997 na baadae kupinga baadhi ya maamuzi ya Magufuli nafikiri matatizo yalianzia hapo.
Magufuli akapenyezewa taarifa kuwa Kadego alikuwa ni Komando mstaafu hatari na aliyeshiriki jaribio la kumpindua Nyerere.
Ikumbukwe Kadego alikuwa na miaka 67 hivyo hakuwa Kadego yule kijanaa machachari. Hayati Magufuli aliagiza Kadego “ashughulikiwe” maana alikuwa anahatarisha usalama wake.
Akatekwa na kupigwa risasi na watu waliokuja kujulikana baadae kuwa ni watu wa ikulu.
My note;
Hayati alikuwa muoga sana, unamuuaje mzee wa miaka 67? Hayati hakuwa na ubinadamu kabisa.
🤣🤣Hicho kijarida kimepotea mapema sana chatini kama nyimbo za bongofleva za siku hizi. Unakilazimisha kitrendi tena?
Huyu jamaa anadhalilisha watunzi wa nonfictional books. Unverifiable stories za sampuli hii makao yake ni kwenye magazeti ya udaku na fictional books. It’s a worthless book!Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President.
Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere.
Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza la Segerea wakati alipopewa kesi ya uhujumu uchumi, utakatishaji wa fedha pamoja ukwepaji kodi. “ Nilikuwa selo wakati nilipopewa kikaratasi kutoka kwa mtu asiyejulikana akiniambia kuwa Chistopher Kadego alikamatwa siku 3 nyuma kabla ya kukamatwa kwangu kisha kupigwa risasi na watu wasiojulikana.”
Kabendera anaendelea kufafanua; Kadego nilimfahamu kama miaka 15 iliyopita na alikuwa mtu mwema, sema kitendo chake kushiriki katika makundi mbalimbali ya waasi kama lile kundi la Kabila katika Vita dhidi ya Mobutu mwaka 1997 na baadae kupinga baadhi ya maamuzi ya Magufuli nafikiri matatizo yalianzia hapo.
Magufuli akapenyezewa taarifa kuwa Kadego alikuwa ni Komando mstaafu hatari na aliyeshiriki jaribio la kumpindua Nyerere.
Ikumbukwe Kadego alikuwa na miaka 67 hivyo hakuwa Kadego yule kijanaa machachari. Hayati Magufuli aliagiza Kadego “ashughulikiwe” maana alikuwa anahatarisha usalama wake.
Akatekwa na kupigwa risasi na watu waliokuja kujulikana baadae kuwa ni watu wa ikulu.
My note;
Hayati alikuwa muoga sana, unamuuaje mzee wa miaka 67? Hayati hakuwa na ubinadamu kabisa.
Na yeye Hajapewa hata KibaoEti mtu GEREZANI halafu mtu huyo huyo apate habari mbaya tu zaidi ya 100 kumhusu mtu mmoja tu....... tena taarifa hizo akizipata akiwa gerezani tena kutoka vyanzo tofauti....!
UFADHILI na NGUVU nyingi inayotumika kumchafua MAGUFULI unatia mashaka sana juu ya wenzetu hawa wenye ufadhili wa moja kwa moja wa nchi za ULAYA......
(Nimefurahi kwa sehemu kwa TRUMP kuifutilia mbali USAID kwani inafadhili baadhi ya machafuko kwenye nchi kama upuuzi huu)
NB: baada ya USAID kufaliki, tutegemee wanasiasa wengi "waliojikimbiza" kurejea na kuacha upuuzi wao wa kuichafua nchi yetu pendwa kwa manufaa yao na ya WEUPE
Mkuu kama kuna uwezekano tusambazie hapaKitabu huwa hakizungumzwi bali kinasomwa, hata mimi hapa naendelea kukisoma na nimekisambaza kwa watu wengi sana.
Ngoja niombe mwongozo toka kwa Moderators kwanza Maxence Melo,Refiner ,BridgerMkuu kama kuna uwezekano tusambazie hapa
Kusema tu wamemwongezea siyo sahihi. Magufuli alikuwa na wasiwasi sana kwa sababu ni kweli kulikuwa na majadiliano yalikuwa yanafanywa na CCM wenzake wakitafuta namna ya kumwondoa kwenye urais baada ya kuona hafai.He might have been a sadist, ila haya mengine wamemuongezea.
Dah, inasikitisha mkuu, huyu mtu pengine ni kansa, pengine ni TB, pengine ni UKIMWI, pengine ni marehemu pengine ni lolote lile ila ndo anatrend hivyo. Watoto, mke, wazazi, ndugu jamaa na marafiki wanamuona anavyotumika mitandaoni na watu wasiojua uhalisia uliompata.
Alikuwa na ushamba mwingi sana! Unamuua hata hujasikia kama ana mpango wwote?Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President.
Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere.
Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza la Segerea wakati alipopewa kesi ya uhujumu uchumi, utakatishaji wa fedha pamoja ukwepaji kodi. “ Nilikuwa selo wakati nilipopewa kikaratasi kutoka kwa mtu asiyejulikana akiniambia kuwa Chistopher Kadego alikamatwa siku 3 nyuma kabla ya kukamatwa kwangu kisha kupigwa risasi na watu wasiojulikana.”
Kabendera anaendelea kufafanua; Kadego nilimfahamu kama miaka 15 iliyopita na alikuwa mtu mwema, sema kitendo chake kushiriki katika makundi mbalimbali ya waasi kama lile kundi la Kabila katika Vita dhidi ya Mobutu mwaka 1997 na baadae kupinga baadhi ya maamuzi ya Magufuli nafikiri matatizo yalianzia hapo.
Magufuli akapenyezewa taarifa kuwa Kadego alikuwa ni Komando mstaafu hatari na aliyeshiriki jaribio la kumpindua Nyerere.
Ikumbukwe Kadego alikuwa na miaka 67 hivyo hakuwa Kadego yule kijanaa machachari. Hayati Magufuli aliagiza Kadego “ashughulikiwe” maana alikuwa anahatarisha usalama wake.
Akatekwa na kupigwa risasi na watu waliokuja kujulikana baadae kuwa ni watu wa ikulu.
My note;
Hayati alikuwa muoga sana, unamuuaje mzee wa miaka 67? Hayati hakuwa na ubinadamu kabisa.
Wafuasi wa Jiwe walete hoja hapa sio kubwabwaja, tunawasubiri..Christopher Kadego ameuawa, au hajauwawa?
..Christopher Kadego alikuwa akimpinga Magufuli, au alikuwa akimuunga mkono?