Komandoo ni Cheo au ni mtu wa namna gani?

Kaka maelezo yako mengi upo sahihi lakini Kuna mahali hauko sawa. Ili uitwe komandoo maana yake ni lazima uwe mwanajeshi wa majini, angani na nchi kavu. Kama huwezi kimojawapo wewe bado sio komando
 
Nimekuelewa sana mkuu,shukran sana
 
Kwanini wanalindwa wakati wao ni makomandoo na wako full yan wametimia?
 
Reactions: SDG
Maswali bado ni mengi. Madaraja yako mangapi? Daraja la juu kulifikia inamchukua komandoo muda gani? Mbawa kazi yake ni kutumiwa katika kuruka, sasa nusu mbawa ataweza vipi kurusha ndege.

Na washawasha!

nikijibu swali kama hili sitatenda haki
 
Marine Commando nao wanafanyia Ngelengele pia?
 
Reactions: SDG
Kaka maelezo yako mengi upo sahihi lakini Kuna mahali hauko sawa. Ili uitwe komandoo maana yake ni lazima uwe mwanajeshi wa majini, angani na nchi kavu. Kama huwezi kimojawapo wewe bado sio komando
Kwa kifupi ni kwamba komando ni askari jeshi mwenye mafunzo ya Anga, Ardhini, na Majini. Anajua kutumia zana zote za kivita kuanzia kisu, bunduki, magari, ndege na hata meli na boti.

Mfano mzuri ni special force ya kimarekani inayoitwa Delta force. Hawa jamaa wana mafunzo yoote ya kijeshi. Ardhi, Anga na Maji.
 
Reactions: SDG
ameuliza eti tanzania wapo wangapi hhhhhhaaaa hili swali vipi unaweza kulijibu?
 
Reactions: SDG
Me nilijua komandoo lazima akasomee Kyuba na Urusi..
Kumbe hapahapa Bongo tunazalisha makomandoo vile vile??

Daah, hizi bongo movie nazo vimeo kwelikweli...
 
Maswali bado ni mengi. Madaraja yako mangapi? Daraja la juu kulifikia inamchukua komandoo muda gani? Mbawa kazi yake ni kutumiwa katika kuruka, sasa nusu mbawa ataweza vipi kurusha ndege.

Na washawasha!

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Komandaa ni mwanasiasa ndio maana vyeti vyao havihakikiwi.
 
Wewe Mchina hatuwezi kukupa siri za nchi! [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…