Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi we mamaWewe mleta uzi kama una mihemko ya kidini
Iran mkisikia tu wafuasi wamkasaji nyumba alie lala chini ya mti akitokea Damascus mnatetemeka.Wewe mleta uzi kama una mihemko ya kidini
Siwezi kuvutia uchafu Mimi.Hahaha adriz umeanza na wewe kuvuta bangi?
Iga ufe maamaee
Yaani Ustaadh i know wewe ni Muslim ila hawa wenzio Muslim humu jf ni wale Fanatic Muslim and possibly ni Mashia kila news waletayo inakuwa imejaa uongo.. pengine hujawazoea ingia website za iran utakuta walicho ongea kina 80% uongo na 20 ukweli.. kuna news wanaletaga humu 100% uongo.. Hata kama ni waislam wenzio wana tumia Taqiyya kwa kila kituWaarabu wanafiki sana yaani mauaji yote pale Gaza lakini Bado Wana supply mafuta kwenye meli za kivita
Ondoa Msikiti Tv news utakuwa Morogoro pale Live..Uharo mtupu.
Kashindwa bwana yenu Marekani, UK, hao mashoga watawaweza Yemen.
Hebu nipe QUOTE kwenye bibilia inasema ukilibariki taifa la Israel utabarikiwa, hivi kuna bibilia ilitoka toleo la 1948.
Mwanzo 12:1 “Bwana akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha;
2 nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka;
3 nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa”.
Mwanzo 12 : 2 nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka;Hio point we unayo iongelea ni ya mcha Mungu, sio taifa.
Kwa lugha ya Aramic mliitwa Kafir.. Kama Fake why mmecopy Asalam Aleykum? Kauli aliyoitoa Malaika Gabriel kwa Maria and Jesus alikuwa akiitumia acheni mara mojaNyie mpo kifake fake tu, mpaa Mungu wenu ni fake
Our God alikuja kuishi nasi Emmanuel Yashua Am am who i am.. YHWH The Almighty. Kasome Quran Sura Marial aya ya kwanza chumbuka uwezavyo Kaf, Ha, Ya, 'Ayn, Sad. maana yake ''Christ is my Lord'' Allah huyo ndie muandishina yule Mungu originally hamumjui 😄
Uchokozi wa iran dhidi ya israel ipo siku majibu yake atayapataKomandoo wa Iran wameikamata meli ya Falme za Kiarabu iliyokua inapeleka Mafuta na gas kwenye meli za Kivita za Israel. Wakati huo huo Yemen wamesema watakilipua kisima Cha mafuta Cha Israel kilichopo baharini
[emoji298]️BREAKING
Iranian commandos seized a UAE-run vessel carrying marine gas oil for Israeli warships - Fars News..
Yemeni armed forces are seriously considering strikes against Israel's vital infrastructure, including offshore gas fields - Yemen's Almasirah
View attachment 3049515View attachment 3049520