Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

bado dakika 4 mpira uishe kilimanjaro star 4 eritrea 0 (ngasa 3 bocco 1)

samahani siyo ngasa sema yule mchezaji wa Yanga kafunga matatu...hata kama asingekuwepo Ngasa bado magori matatu yangefungwa na mchezaji wa Yanga aliyopo...tehe

Mkuu dkk bado?
 
Tunakubaliana kwenye Hili la Stars,Yanga na Chelsea,ningekua na mtoto wa kike ningekupa uoe bureee...........

Asante baba ninakuombea upate mapacha wa kike na shemeji yangu!Si unajua tena wanaume hatuzeeki nitasubiri
 
Wafungaji ni Ngasa kapiga 3 alafu John Boko ambae angehamia Yanga nae kapiga goli mwakani atatua tu Jangwani

Mh naona kuna wanazi wa Yanga humu! Hivi wandugu, mbona Mgosi wa Simba anapokuwa Stars hawiki kama akiwa Simba, kunani? au hawampi pasi wanambania? yaani mara chache sana akiwa Stars nimesikia Mgosi kafunga goli.
 
Inadaiwa Mgosi si riziki akiwa Stars
 
Asante baba ninakuombea upate mapacha wa kike na shemeji yangu!Si unajua tena wanaume hatuzeeki nitasubiri

Dua lako liwe la kheri,Baba .

Sasa nauliza hivi nini Mustakabari wa Kocha Maximo baada ya leo,either akichukua kikombe ama la.....?
 
Mh naona kuna wanazi wa Yanga humu! Hivi wandugu, mbona Mgosi wa Simba anapokuwa Stars hawiki kama akiwa Simba, kunani? au hawampi pasi wanambania? yaani mara chache sana akiwa Stars nimesikia Mgosi kafunga goli.
kule hakuna hirizi na kuonga timu mpinzani kama wanavyofanya freinds of simba
 
Mh naona kuna wanazi wa Yanga humu! Hivi wandugu, mbona Mgosi wa Simba anapokuwa Stars hawiki kama akiwa Simba, kunani? au hawampi pasi wanambania? yaani mara chache sana akiwa Stars nimesikia Mgosi kafunga goli.

Huyo Mgosi ni Joka la kibisa sijui kwa nn Maximo iwa anamwita au ndo maswala ya nidhamu?
Mkuu ukweli utabaki pale pale Yanga ndo imeing'alisha hiyo Kili lasivyo angeng'ang'ania hao waSimba tungekuwa tumesha fungasha vilago long time.
 
kidding au predicting?
Ngasa ana nyumba mbili tayari, by the time huyo Doto anavunja nanilihii jamaa huenda akawa ashafikisha idadi inayoruhusiwa (wanne) labda awekewe ahadi thabiti hapa na mkwe mtarajiwa.
 
Back
Top Bottom