Wenzio wanakimbizwa hukuKila la Khei timu ya wananchi KMKM.
Hahah hawajahi niangusha hao jamaa. Itapigwa counter hapo hutaamini.Wenzio wanakimbizwa huku
Unawaombea njaa Hadi huku kwenye ndondoKila la kheri KMKM. Tuzidi kudumisha Muungano.
Somaaaa hukooo engineer
Interprenuaaaaaa eee hiyo hiyo kwa kiswahiliSomaaaa hukooo engineer
kafanyajeNyoni kwisha kazi..alivyokuwa babu..off season
Duh humo kuna lecturer...Mbumbumbu FC bana.View attachment 987697
Rotation ya kikosi cha Simba
Usiku wa leo wazanzibar na dunia nzima itakuwa uwanjani na kideoni wakitalii. Sio utalii wa Serengeti bali ni utalii kushuhudia soka safi la mnyama Simba,kushudia masta lecturer Triple C na wenzie wakichezea mpira.
Usiondoke
huyo ni underdog fc πππDuh humo kuna lecturer...Mbumbumbu FC bana.