Kombe la shirikisho Africa: Yanga yapangwa na TP Mazembe kundi moja

Sia
Hivi unafahamu hata TP Mazembe hawako vizuri (kama umewafuatilia mechi zao zilizopita).

Hata kwenye msimamo wa ligi ya kwao wako hoi.

Hapa Yanga inabidi amalize nafasi ya 1 au ya 2.
Siasa za Moise Katumbi..Yanga gooo
 
Yaani chura hajitambui kabisa kuwa yeye ni chura. Ndiyo ya paka kujidhania ni simba!
Chura hajitambui kabisa
Hongereni Yanga kwa kupangiwa kundi dhaifu.
Siyo kundi dhaifu bali ni kundi lisilo na waarabu wengi hivyo tutacheza mpira viwanjani na siyo nje ya viwanja kama ilivyo kwa fitina za waarabu.
 
angalieni timu yenu ya yanga tuachie wenyewe
 
TP Mazembe are actually not at their best msimu huu,hao waarabu hawatishi sana,nadhan hapa wa kumhofia ni huyo mghana baaasi.
Vamos YoungAfrica Vamoooooooos!!!!!
 
Tutasema nao hivyo hivyo mazima. Tutawapa kubwaasmaa..COYYA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…