Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Sia
Siasa za Moise Katumbi..Yanga goooHivi unafahamu hata TP Mazembe hawako vizuri (kama umewafuatilia mechi zao zilizopita).
Hata kwenye msimamo wa ligi ya kwao wako hoi.
Hapa Yanga inabidi amalize nafasi ya 1 au ya 2.