Acha kushadadia huu ujinga bhana, mara ngapi yanga wamekuwa wakikusanya hayo mamilioni lakin hayajulikani yanakoishia!!?
Kwani ilikuwa mpira uoneshwe bure??Mimi sijachukia,unataka yanga ipate pesa kupitia kwa nani..kabla ya azam tv ulikuwa unaangalia wapi mechi..kila kills tu kinakwanda kimaslahi na sio kufurahishana kinafki
at least kidogo hapo
Hakumbuki washabiki wa yanga kuna mwaka walinunua jezi kabisa za tp mazembe?? Kisa mazembe alikuwa anacheza na simba.wabongo hawana uzalendo,mi simba lakini hii tabia ya simba kushangilia club hii ya Botswana imeniudhi
Ha ha ha haah mkuu leo imebidi niwe mzalendo.Mkuu Hongera kwa uzalendo
Hili jambo limeudhi wengi sana huku kitaa. Timu yenye base ya mashabiki nchi nzima na nje kuzuia game isionyeshwe ni ushamba na mambo ya kizamani mno. Ushindi wa leo hautaleta hamasa iliyotarajiwa kufuatia kasoro hii. Wengi wamechukia sana
Hili jambo limeudhi wengi sana huku kitaa. Timu yenye base ya mashabiki nchi nzima na nje kuzuia game isionyeshwe ni ushamba na mambo ya kizamani mno. Ushindi wa leo hautaleta hamasa iliyotarajiwa kufuatia kasoro hii. Wengi wamechukia sana
Mimi sijachukia,unataka yanga ipate pesa kupitia kwa nani..kabla ya azam tv ulikuwa unaangalia wapi mechi..kila kills tu kinakwanda kimaslahi na sio kufurahishana kinafki
Mkuu kwa swala la Simba na Yanga hakuna cha uzalendo, wewe mtu wa Simba ikitokea Yanga amechukua kombe hili inakusaidia nini sana sana itakuwa ni kupata kejeli tu toka kwa watu Yanga. Hizi ni mechi za vilabu hakuna kusaidiana kushangilia labda tu tutasaidiana kwenye mapato maana kuna watu wa Simba wameingia uwanjani.wabongo hawana uzalendo,mi simba lakini hii tabia ya simba kushangilia club hii ya Botswana imeniudhi
Kwani ilikuwa mpira uoneshwe bure??
Mkuu hiyo ndo ishapita msamehe bure tu m/kiti ndo viongozi tulionao, wanataka wapenda mpira karibia milioni 20 wote waende uwanjani sijui kama wana sehemu ya kutuweka, wewe furahia ushindi tu.Yaani hii game hata yanga washinde goli kumi, kwangu sitakuwa na furaha yoyote. Pesa za mlangoni ale manji mimi niishie kutega masikio kusikiliza redio??
Tena hawa viongoz wa Yanga wapumbavu sana, Mimi naipenda yanga lakini kwa hili la Yusuph Manji na akina Jerry Muro la kukataa game ya yanga vs bdf kuoneshwa live ni upumbavu. Wanategemea wapenz wa yanga wanaoishi mikoani wataionea wapi yanga!!! Miaka nenda rudi wanakusanya hayo mapato ya mlangoni lakin hata uwanja wa mazoez hakuna, iweje wamekomalia azam tv!! Manji acha ujinga bhana, Wanajangwani wengi hatujafurahishwa na hili.
USHAMBA iliopitiliza kwa dunia ya sasa. TV ziko nyingi tu kwa sasa sio lazima Azam. Hapo mwanzo tulikuwa tunatazama kupitia Star TV na TBC. Uliza swali jingine
Hujui, yalikoishia? Mishahara na huduma za tim unatoaga ww?