IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
mambo ya kizamani kabisa kutegemea gate collection kuendesha timu hata mwadui ya daraja la kwanza hawafanyi hivi timu ya wajinga tupu hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakumbuki washabiki wa yanga kuna mwaka walinunua jezi kabisa za tp mazembe?? Kisa mazembe alikuwa anacheza na simba.
Hakumbuki washabiki wa yanga kuna mwaka walinunua jezi kabisa za tp mazembe?? Kisa mazembe alikuwa anacheza na simba.
kwa Yanga na Simba hayo mambo ya kawaida kaka...
Acha uongo,kwa hy unaniambia mechi zote za nyuma zilikuwa zinaoneshwa?!!!
Sisi kutoka mji wa Gaborone sijui hawa BDF kumi na moja watatutoa kimasomaso au ndo watambwelambwela.
Mishahara ya wachezaji hata ndanda wanawalipa wachezaji wao. Sembuse yanga!!?
Acha uongo,kwa hy unaniambia mechi zote za nyuma zilikuwa zinaoneshwa?!!!
Mkuu kwa swala la Simba na Yanga hakuna cha uzalendo, wewe mtu wa Simba ikitokea Yanga amechukua kombe hili inakusaidia nini sana sana itakuwa ni kupata kejeli tu toka kwa watu Yanga. Hizi ni mechi za vilabu hakuna kusaidiana kushangilia labda tu tutasaidiana kwenye mapato maana kuna watu wa Simba wameingia uwanjani.
Acha uongo,kwa hy unaniambia mechi zote za nyuma zilikuwa zinaoneshwa?!!!
yanga wajitahidi washinde at least 3 bila. wakiweza 5 ni nzuri zaidi. namwombe mtani wangu ashinde. Bantu lady
Nilikwambia unishawishi niungane nawe japo kwa mechi moja lakini ulishindwa, nasupport BDF XI kwa sasa. Mkishinda nitawapongeza kwa dhati kabisa.Tulikubaliana nini kwenye hii mechi Masuke? Unakuwa Yanga, iweje umekuwa BDF Xl tena?
Ona aibu uliyoipata ila pole BDF XI...
Tofautisha mishahara ya wachezaji kati ya everton na chelsea,tofautisha mshahara wa real sociedad na barcelona,na pia tofautisha ndanda na yanga
Happy valentine mamie.....
Dunnia ya sasa inakwenda na maslahi ndugu,kuna kipindi itv na dtv walikuwa wanaonesha ligi ya england na italy bure,badae wenye mpira wao wakabadilisha mfumo na watu kama ww wakalalamika sana...mpaka sasa virabu vinapata kipato kikubwa kupitia tv rights,wangetaka kukufurahisha ww wa kijjn ingekuaje..acha umbumbumbuUmebadili swali? Nimesema kwa dunia ya sasa, ukizingatia mvuto wa soka la Tanzania. Hii ni mbaya kabisa kwa mwenye akili nzuri na mwenye kutazama malengo mapana ya klabu