Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga vs BDF XI [14 Feb 2014]

Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga vs BDF XI [14 Feb 2014]

Thanks buddy, Happy Valentine's day too...
Wapi leo dinner fulani hivi...
Nitakuwa Southern Sun hotel ila muda sikwambii, hukawii kuja wewe hahahahahaa

Nitakuwa Escape 1 niruhusu nije nikusalimie basi......
 
Thanks buddy, Happy Valentine's day too...
Wapi leo dinner fulani hivi...
Nitakuwa Southern Sun hotel ila muda sikwambii, hukawii kuja wewe hahahahahaa
Hebu nikaribishe mimi nije kukupongeza kwa ushindi wa Yanga.
 
Mkuu unafaidika na nini mechi kutoonyeshwa? Nani kakwambia kwamba mechi ikionyeshwa watu hawataenda uwanjani? Mechi za nyuma kutoonyeshwa haina maana ya kwamba na sasa zisionyeshwe mbona sasa usiendelee kusafiri kwa baiskeli, punda au kwa miguu kwa sababu miaka ya nyuma watu walitumia usafiri huo kwa nini unapanda magari kama lengo ni kuhifadhi mambo ya zamani?

Huyo poyoyo mi nilishaachana nae huyo, nimegundua kuwa huyo jamaa ni mburula tu bado ana mambo ya kizamani sana.
 
Dk 90

Yanga 2 - 0 BDF XI

Dk 3 zinaongezwa...
 
Hongera sana wanayanga kwa ushindi huu wa leo, wito wangu kwenu ni kwamba mjiandae vizuri ili mechi ya marudiano mfanye tena vizuri lakini nasikitika tu kutokana na kwamba mimi ni wa upande wa pili bado nitaendelea kuwasupport wapinzani wenu na endapo mtawatoa sitasita kuwapongeza tena. Hongera sana Tambwe, hongera timu nzima.
 
Mkuu unafaidika na nini mechi kutoonyeshwa? Nani kakwambia kwamba mechi ikionyeshwa watu hawataenda uwanjani? Mechi za nyuma kutoonyeshwa haina maana ya kwamba na sasa zisionyeshwe mbona sasa usiendelee kusafiri kwa baiskeli, punda au kwa miguu kwa sababu miaka ya nyuma watu walitumia usafiri huo kwa nini unapanda magari kama lengo ni kuhifadhi mambo ya zamani?
Sasa utalazimisha mechi ioneshwe mradi ioneshwe watu waone hata kama hawajafikia muaka kimaslahi ww..nyinyi si ndo mnasemaga mpira ni biashara?
 
Full Time:

Yanga SC 2 - BDF XI 0

Magoli yote mawili Amis Tambwe.

Mikia mliosubiri kuishangilia BDF poleni, Valentine kwenu chungu poleni sana.
 
Hongereni Yebo yebo lakini bado mna kibarua kigumu ugenini.
 
Back
Top Bottom