Simba na Yanga hakuna cha kuiwakilisha nchi hapo ni kila timu inajiwakilisha yenyewe na mashabiki wake.wote nchi mmoja,hapo ni kuiwakilisha nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba na Yanga hakuna cha kuiwakilisha nchi hapo ni kila timu inajiwakilisha yenyewe na mashabiki wake.wote nchi mmoja,hapo ni kuiwakilisha nchi
Thanks buddy, Happy Valentine's day too...
Wapi leo dinner fulani hivi...
Nitakuwa Southern Sun hotel ila muda sikwambii, hukawii kuja wewe hahahahahaa
Hebu nikaribishe mimi nije kukupongeza kwa ushindi wa Yanga.Thanks buddy, Happy Valentine's day too...
Wapi leo dinner fulani hivi...
Nitakuwa Southern Sun hotel ila muda sikwambii, hukawii kuja wewe hahahahahaa
Mkuu unafaidika na nini mechi kutoonyeshwa? Nani kakwambia kwamba mechi ikionyeshwa watu hawataenda uwanjani? Mechi za nyuma kutoonyeshwa haina maana ya kwamba na sasa zisionyeshwe mbona sasa usiendelee kusafiri kwa baiskeli, punda au kwa miguu kwa sababu miaka ya nyuma watu walitumia usafiri huo kwa nini unapanda magari kama lengo ni kuhifadhi mambo ya zamani?
Nitakuwa Escape 1 niruhusu nije nikusalimie basi......
Aaah tutaongea hahahaaaa, mi huko hapana, napenda sehemu zilizotulia km niendako leo. Hope mambo mengine powa eeh...
Sasa utalazimisha mechi ioneshwe mradi ioneshwe watu waone hata kama hawajafikia muaka kimaslahi ww..nyinyi si ndo mnasemaga mpira ni biashara?Mkuu unafaidika na nini mechi kutoonyeshwa? Nani kakwambia kwamba mechi ikionyeshwa watu hawataenda uwanjani? Mechi za nyuma kutoonyeshwa haina maana ya kwamba na sasa zisionyeshwe mbona sasa usiendelee kusafiri kwa baiskeli, punda au kwa miguu kwa sababu miaka ya nyuma watu walitumia usafiri huo kwa nini unapanda magari kama lengo ni kuhifadhi mambo ya zamani?