Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga vs BDF XI [14 Feb 2014]

Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga vs BDF XI [14 Feb 2014]

Acha kushadadia huu ujinga bhana, mara ngapi yanga wamekuwa wakikusanya hayo mamilioni lakin hayajulikani yanakoishia!!?

Hujui, yalikoishia? Mishahara na huduma za tim unatoaga ww?
 
Mimi sijachukia,unataka yanga ipate pesa kupitia kwa nani..kabla ya azam tv ulikuwa unaangalia wapi mechi..kila kills tu kinakwanda kimaslahi na sio kufurahishana kinafki
Kwani ilikuwa mpira uoneshwe bure??
 
Mpira wa Kiutu Uzima upo kesho, leo wote wachovu tu. BDF yenyewe hata kwenye ramani ya soka la Afrika haisomeki, tuombe wapangwe na timu yenye kujua kabumbu tuone Yeboyebo wanavyopigwa 5 bila.
 
yanga wajitahidi washinde at least 3 bila. wakiweza 5 ni nzuri zaidi. namwombe mtani wangu ashinde. Bantu lady
 
Last edited by a moderator:
wabongo hawana uzalendo,mi simba lakini hii tabia ya simba kushangilia club hii ya Botswana imeniudhi
Hakumbuki washabiki wa yanga kuna mwaka walinunua jezi kabisa za tp mazembe?? Kisa mazembe alikuwa anacheza na simba.
 
wabongo hawana uzalendo,mi simba lakini hii tabia ya simba kushangilia club hii ya Botswana imeniudhi

kwa Yanga na Simba hayo mambo ya kawaida kaka...
 
Hili jambo limeudhi wengi sana huku kitaa. Timu yenye base ya mashabiki nchi nzima na nje kuzuia game isionyeshwe ni ushamba na mambo ya kizamani mno. Ushindi wa leo hautaleta hamasa iliyotarajiwa kufuatia kasoro hii. Wengi wamechukia sana

Wengi,umewahesabu saa ngapi
 
Hili jambo limeudhi wengi sana huku kitaa. Timu yenye base ya mashabiki nchi nzima na nje kuzuia game isionyeshwe ni ushamba na mambo ya kizamani mno. Ushindi wa leo hautaleta hamasa iliyotarajiwa kufuatia kasoro hii. Wengi wamechukia sana

Yaani hii game hata yanga washinde goli kumi, kwangu sitakuwa na furaha yoyote. Pesa za mlangoni ale manji mimi niishie kutega masikio kusikiliza redio??
 
Mimi sijachukia,unataka yanga ipate pesa kupitia kwa nani..kabla ya azam tv ulikuwa unaangalia wapi mechi..kila kills tu kinakwanda kimaslahi na sio kufurahishana kinafki

USHAMBA iliopitiliza kwa dunia ya sasa. TV ziko nyingi tu kwa sasa sio lazima Azam. Hapo mwanzo tulikuwa tunatazama kupitia Star TV na TBC. Uliza swali jingine
 
wabongo hawana uzalendo,mi simba lakini hii tabia ya simba kushangilia club hii ya Botswana imeniudhi
Mkuu kwa swala la Simba na Yanga hakuna cha uzalendo, wewe mtu wa Simba ikitokea Yanga amechukua kombe hili inakusaidia nini sana sana itakuwa ni kupata kejeli tu toka kwa watu Yanga. Hizi ni mechi za vilabu hakuna kusaidiana kushangilia labda tu tutasaidiana kwenye mapato maana kuna watu wa Simba wameingia uwanjani.
 
Yaani hii game hata yanga washinde goli kumi, kwangu sitakuwa na furaha yoyote. Pesa za mlangoni ale manji mimi niishie kutega masikio kusikiliza redio??
Mkuu hiyo ndo ishapita msamehe bure tu m/kiti ndo viongozi tulionao, wanataka wapenda mpira karibia milioni 20 wote waende uwanjani sijui kama wana sehemu ya kutuweka, wewe furahia ushindi tu.
 
hata mim hii yakutooneshwa mechi sijaipenda kabisa viongozi inabidi wajali hisia za mashabiki na wapenzi wa yanga kwa nin watu wa mikoani tubaniwe?
 
Tena hawa viongoz wa Yanga wapumbavu sana, Mimi naipenda yanga lakini kwa hili la Yusuph Manji na akina Jerry Muro la kukataa game ya yanga vs bdf kuoneshwa live ni upumbavu. Wanategemea wapenz wa yanga wanaoishi mikoani wataionea wapi yanga!!! Miaka nenda rudi wanakusanya hayo mapato ya mlangoni lakin hata uwanja wa mazoez hakuna, iweje wamekomalia azam tv!! Manji acha ujinga bhana, Wanajangwani wengi hatujafurahishwa na hili.

Manji na kijana mdogo Jerry Murro hawana makosa, makosa ni kuongoza watu wajinga, mambumbumbu wasiojua haki zao.
Kila maamuzi ya gabachori wao husema hewala tu.
Ni heri utukanwe ukitafuta haki yako kuliko kukaa kimya wakati ukitumikishwa kama mtumwa!
 
USHAMBA iliopitiliza kwa dunia ya sasa. TV ziko nyingi tu kwa sasa sio lazima Azam. Hapo mwanzo tulikuwa tunatazama kupitia Star TV na TBC. Uliza swali jingine

Acha uongo,kwa hy unaniambia mechi zote za nyuma zilikuwa zinaoneshwa?!!!
 
Back
Top Bottom