Kombe la shirikisho hakuna timu ya kuifunga Vipers

Kombe la shirikisho hakuna timu ya kuifunga Vipers

Kitambi chakufutia tachi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
1,063
Reaction score
2,566
Salaam wakuu.

Jana nimeangalia baadhi ya mechi za kombe la shirikisho ndipo nikaamini kweli ile ni ligi ya mazezeta yaliyoshindwa (LOOSER) kuna timu dhaifu mno vuta taswira timu inamaliza dakika 90 haina hata shuti lililolenga lango halafu bado kuna vilaza wanajisifu kushiriki mashindano kama haya.

Mashindano ambayo hata vigezo vya kushiriki havifahamiki usishangae msimu ujao Malimao FC ukaona wanashiriki hii michuano hii ya kimlenda kwa sababu hakuna vigezo maalum vya kushiriki hata timu iliyomaliza nafasi ya 9 ligi ya Shelisheli inaweza ikashiriki haya mashindano ndio maana timu zake nyingi ni dhaifu.

MFANO mzuri timu kama VIPERS ambayo ni mwisho kwenye kundi lake HUKO KWA MABINGWA WENZIE amewagonga vilaza wanaoshiriki ligi ya waliofeli kama YANGA ambae anaongoza kundi lake huko kwa mazezeta tena akamfunga kilaza mwingine TP MAZEMBE na wote akiwapigia mpira mkubwa.

MWISHO NISEME VIPERS ANGEKUWA HUKU KWA VILAZA ANGECHUKUA KOMBE.
 
Salaam wakuu.

Jana nimeangalia baadhi ya mechi za kombe la shirikisho ndipo nikaamini kweli ile ni ligi ya mazezeta yaliyoshindwa (LOOSER) kuna timu dhaifu mno vuta taswira timu inamaliza dakika 90 haina hata shuti lililolenga lango halafu bado kuna E.
Nimesoma yote ila umenifurahisha uliposema "AKIWAPIGIA MPIRA MKUBWA'' The rest umeandika CHOO
 
Salaam wakuu.

Jana nimeangalia baadhi ya mechi za kombe la shirikisho ndipo nikaamini kweli ile ni ligi ya mazezeta yaliyoshindwa (LOOSER) kuna timu dhaifu mno vuta taswira timu inamaliza dakika 90 haina hata shuti lililolenga lango halafu bado kuna vilaza wanajisifu kushiriki mashindano kama haya...
Hizo zote ni hasira au makasiriko?
 
Salaam wakuu.

Jana nimeangalia baadhi ya mechi za kombe la shirikisho ndipo nikaamini kweli ile ni ligi ya mazezeta yaliyoshindwa (LOOSER) kuna timu dhaifu mno vuta taswira timu inamaliza dakika 90 haina hata shuti lililolenga lango halafu bado kuna vilaza wanajisifu kushiriki mashindano kama haya...
Nakupa fact wewe usiyejua mpira.
1) Kuna mechi ilichezwa Yanga vs Simba na Simba hakupiga hata on target hata moja vipi Simba ni dhaifu?

2) Leo hii unaona timu zilizopo Caf confederation ni dhaifu kwasababu unajua mdako na marede ungekuwa unaujua mpira usingeongea hayo.

Monastir ndiye timu iliyomtoa bingwa mtetezi wa CAF confederation cup ambaye ni Berkane. Na huyu Berkane ndiye bingwa mtetezi pia wa CAF super cup kombe ambalo alilipata kwa kumfunga bingwa wa CAF champions league (Wydad) goli mbili kwa bila.

3) Kitendo cha bingwa wa CAF champions league kuchezea magoli mawili kwa bila kutoka kwa bingwa wa CAF confederation cup inadhihirisha wazi kuwa timu zilizopo shirikisho ni timu zilizo na ushindani na ubora.
 
Salaam wakuu.

Jana nimeangalia baadhi ya mechi za kombe la shirikisho ndipo nikaamini kweli ile ni ligi ya mazezeta yaliyoshindwa (LOOSER) kuna timu dhaifu mno vuta taswira timu inamaliza dakika 90 haina hata shuti lililolenga lango halafu bado kuna vilaza wanajisifu kushiriki mashindano kama haya...
Angepata wap muda huo? Wakati kakutana na wababe wenyewe
 
Salaam wakuu.

Jana nimeangalia baadhi ya mechi za kombe la shirikisho ndipo nikaamini kweli ile ni ligi ya mazezeta yaliyoshindwa (LOOSER) kuna timu dhaifu...
Msimu ule ulopita uliocheza huko Confederation kwa vilaza mpaka ukatolewa na Orlando Pirates kwa uchawi mwingi wa katikati ya uwanja, ilikuaje ukashindwa kubeba ubingwa mkuu? Au muda huo haikuwa ya vilaza imebadilika hapa katikati? [emoji1]
 
Tunaomba makoti maana si kwa baridi hili.
Screenshot_20230319_223851_WhatsApp.jpg

Screenshot_20230319_221937_WhatsApp.jpg
 
Nakupa fact wewe usiyejua mpira.
1) Kuna mechi ilichezwa Yanga vs Simba na Simba hakupiga hata on target moja vipi Simba ni dhaifu...
(1) Lete ushahidi

(2) Monastir kumfunga berkane bingwa wa vilaza si ajabu kwa sababu walikutana vilaza tupu.

(3) Hiyo mechi ambayo berkane alimfunga wydad ni kwa sababu wydad hakuweka full aliwapanga wachezaji vilaza.
 
Back
Top Bottom