Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
Salaam wakuu.
Jana nimeangalia baadhi ya mechi za kombe la shirikisho ndipo nikaamini kweli ile ni ligi ya mazezeta yaliyoshindwa (LOOSER) kuna timu dhaifu mno vuta taswira timu inamaliza dakika 90 haina hata shuti lililolenga lango halafu bado kuna vilaza wanajisifu kushiriki mashindano kama haya.
Mashindano ambayo hata vigezo vya kushiriki havifahamiki usishangae msimu ujao Malimao FC ukaona wanashiriki hii michuano hii ya kimlenda kwa sababu hakuna vigezo maalum vya kushiriki hata timu iliyomaliza nafasi ya 9 ligi ya Shelisheli inaweza ikashiriki haya mashindano ndio maana timu zake nyingi ni dhaifu.
MFANO mzuri timu kama VIPERS ambayo ni mwisho kwenye kundi lake HUKO KWA MABINGWA WENZIE amewagonga vilaza wanaoshiriki ligi ya waliofeli kama YANGA ambae anaongoza kundi lake huko kwa mazezeta tena akamfunga kilaza mwingine TP MAZEMBE na wote akiwapigia mpira mkubwa.
MWISHO NISEME VIPERS ANGEKUWA HUKU KWA VILAZA ANGECHUKUA KOMBE.