Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Stand United Vs Simba SC, Dimba la Kambarage

Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Stand United Vs Simba SC, Dimba la Kambarage

Wanakwenda Simba SC, Deo Kanda

Goooooooooooooooooooaaal
 
Wanakwenda kupiga Standa Utd Mirajiii

Anakosaaaaaaaaaaa
 
Ajiiiiiiibu tunapata huku jamaani. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wanakwenda kupiga Stand United
Kimbondile

Amekosaaaaaaaaa
 
Wanakwenda kupiga Simba, Dilungaaa

Goooooooooooooooooooaaal
 
Wanakwenda kupiga Stand United, penati ya mwisho, anapigaaa Maulid Fadhili

Amekosaaaaaaaaaa
 
Simbaaaaaaaaaaaaaa Simbaaaaaa

Simba SC wanaibuka na ushindi wa mabao matatu kwa mawili kwa mikwaju ya penati baada ya kumaliza dakika 90 kwa bao moja kwa moja

Kwa matokeo haya Simba imefuzu hatua ya robo fainali

ASFC, FT: Stand United 2-3 Simba SC
 
Back
Top Bottom