Hahahahaaa. Mechi yetu hii punguza hofu.
Eti eee? 😎😎Tunanyofoa kabisa
Simba nguvu moja
Daaaaah kazi ipo leoHahahahaaa. Mechi yetu hii punguza hofu.
Bora tuwe sare sare kama mtani wetu Yanga.Wanakwenda kupiga Standa Utd Mirajiii
Anakosaaaaaaaaaaa
Daaah!! Goli hili noma sana.Daaaaah kazi ipo leo
Simba nguvu moja
Hili goli noma yaani mwendo wa kugonga mwamba tu na bomba.Bora tuwe sare sare kama mtani wetu Yanga.
@ Shadeeya
Hatimaye. LolDaaaaah kazi ipo leo
Simba nguvu moja