Daaaaaaahhh Simba njeeee nitaweka wapi sura yangu Shadeeya, daaah ndo basi tena πππππππππHatimaye. Lol
Yah leo nina kijinafasi nimeona nije niwachemshe kidogo. π π πkumbe leo hukupata udhuru? na kesho uwepo kwa gwambina, na uanzishe uziii
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko wapi!!Muje sasa tushangilie. π€£π€£π€£π€£
Muje sasa tushangilie. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaaa. Itakuwa anashangaa ninavyopenda Mpira bana.Nahisi yeye ni ke amekupenda
Lakini jibu lililoambatana na kicheko mi tayari najua jinsia yako kama ni Me au Ke
Umentafuta mpaka umenpata. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yah leo nina kijinafasi nimeona nije niwachemshe kidogo. [emoji28][emoji28][emoji28]
Usijali Mkuu. Ombea tu Umeme kwangu usikatike Mkuu. [emoji85]
WoyooooooooMuje sasa tushangilie. π€£π€£π€£π€£
Karibuni kwenye uzi wetu wa Yanga kule tutawaletea Updates zote Mkuu.
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
Nipo Mkuu nipo. Bado kidogo tu mlale na viatu. π πUko wapi!!
π€£π€£π€£π€£, itakua hivyoHahahaaa. Itakuwa anashangaa ninavyopenda Mpira bana.
Afadhali aisee.
Aaaah ShadeeyaYaani sijui tungeweka wapi sura. Huoni angalau tumepata nguvu ya kutype. π€£π€£
Utakuwa na nguvu hizo besti mana tutawakera mapeema.
Hawa watoto wakata tiketi wamejua kutuweka roho juu Wallahπ€£π€£π€£Yaani sijui tungeweka wapi sura. Huoni angalau tumepata nguvu ya kutype. π€£π€£
Yetu machoUtakuwa na nguvu hizo besti mana tutawakera mapeema.
Yaani hatutamchelewesha Gwambina.
Huezi amini nilikuwa busy na mambo zangu nimeanza kuangalia mechi dkk ya 80. π πile juzi si ulikuwa na udhuru beste..leo naona umehudhuria dka 120., ila kuiangalia simba huwa ni raha sana ety?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona hata uzi umechangamka kidogo mana mlikuwa mshaukimbia. Kisa mnaogopa mtatolewa. π π πna kweli umechemsha jukwaa tangu mwanzo, huwa ukikosa jukwaa linapiza sana,
Sent using Jamii Forums mobile app