Kombe la Shirikisho: Medeama yaifunga Yanga 3-1 hatua ya makundi

Yanga Makopo Yanga Makopo Simba Imara Simba Imara
 
Hatimaye Mabingwa wa Soka Tanzania Yanga ya Tanzania imekipata cha mtema kuni baada ya kubamizwa bao 3-1 Na miamba ya Ghana.

Visingizio vimeanza Mara uwanja wakati timu zote zimecheza uwanja huo , mbona Ule uwanja hauna tofauti Na uwanja wa Kaunda ambao Yanga ndio wameuzoea?

Yanga acheni visingizio mkifungwa mbona mlishindwa kuwafunga kwenye Uwanja wa Taifa?Hakuna wa kimataifa wote wa matopeni.
 
Kufuatia kipigo cha aibu ilichokipata leo kutoka kwa timu ya Ghana inayoshika nafasi za chini katika msimamo wa ligi ya nchi hiyo, wapenzi na mashabiki wamesema wazi kuwa kunahitajika kusajiliwa kwa walinzi makini.

Yanga imetandikwa bao 3-1 na timu changa ya Medeama ambayo ni ngeni katika ulimwengu wa soka.

Unajua beki namba 3, 4, 5 wamechoka kabisa na ni wazee. Tunataka Manji atupatie walinzi mbadala. Leo tungeweza kufungwa hata bao saba kama wangekuwa makini.

Sura zetu tutazificha wapi, alilalama shabiki mmoja baada ya mpira kwisha. Tutakuwa wapuuzi kama lengo letu ni kuwadhihaki Simba wakati sisi timu yetu mbovu.

Ninashaka na uwezo wa kocha, yaani timu ikizidiwa ndio basi, anawatoa wachezaji tegemeo na kuingiza potelea mbali.
 
Dah! Wana bahati sana hawa ndala, zilikuwa 8 kabisa zile. Yale majamaa yamekosa magoli ya wazi kabisaa!

Halafu nimekumbuka yale matobo waliyopigwa leo ... Hoi kabisa. Mpira hauchezewi kwenye vijiwe vya kahawa jamani!
 
Waache visingizio hao YEBO YEBO, ule uwanja wataulinganisha na uwanja wa MajiMaji Songea? SHAME...
 
Tuliwambia , ngoma ya kitoto haikoshi mikono ya MTU mzma ,mkabisha kikowapi ,mbendembe.....
 
Kama umeweza kupost thread JF umeshindwa nn kuingia jukwaa la sports
 
....mpira wa Tanzania bado sana, nasema tena BADO SANA...tuendelee kudanganyana tu, km kawaida yetu!
 
Mtotoo akililia wembe mwache .....atapopata kidonda. Mmnghh titiii
 
Yanga uwezo wao ndo ukefikia pale..Ni aibu tu. Si wanajifanya mabingwa ona sasa walivyohenyeshwa
 
Kushangalia timu sio dhambi haijalishi ikoje km VP hama nchi pia sbb Tz mbovu shabikia Ureno
 
Hii kazi huwa tunaiweza Simba,Zamalek wanaijua.Enyimba wanaujua mziki
Sasa inakuwaje mnashindwa hata kuifunga Coastal Union iliyoshuka daraja ili mpate fursa ya kucheza hizi international games?

Au hujui sifa ya kushiriki michuano hii ni zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…