Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nifah nijibie hapa kamanda wanguWamepigwa vingapi jaman mi ckuwepo
Kushangalia timu sio dhambi haijalishi ikoje km VP hama nchi pia sbb Tz mbovu shabikia UrenoMkuu, Taifa Stars na klabu zake bado hazijafikia level hata ya kufuzu Afcon (and its corresponding competitions). Na kama zikiqualify mara nyingi zimekuwa zikitia aibu. Mfano mzuri ni mechi ya leo (timu ya Yanga). Yaani hadi mtu unashindwa kujipa moyo kwamba wamejitahidi..as ilikuwa ni full aibu kama vile Yanga ni timu kutoka Ndondo Cup. WaTZ lazima tubadilike, otherwise tutaendelea kushangilia timu mbovu mpaka mwisho wa dahari. Yatupasa kuemploy BRN kwenye michezo pia, muda wa maneno bila vitendo umeisha. We must say no to politics katika michezo.
Nasikia Yanga wamepiga bonge la mpira wa kapeti, nasikia eti hujuma ndo zimefanya wafungwe, "waarabu" wa magharibi wana fitina sana.Dk 40
bado 3-1 YAMGA WAMEKOSAKOSA
Sasa inakuwaje mnashindwa hata kuifunga Coastal Union iliyoshuka daraja ili mpate fursa ya kucheza hizi international games?Hii kazi huwa tunaiweza Simba,Zamalek wanaijua.Enyimba wanaujua mziki