ZVI ZAMIR
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 921
- 2,163
πππππππππππUjinga huo,sasa ugenini Si atacheza 1-9-1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππππππππUjinga huo,sasa ugenini Si atacheza 1-9-1
Hakuna jinsi.. ukizingatia Yondani kala umeme.Ujinga huo,sasa ugenini Si atacheza 1-9-1
Poleni wakimataifa?Daah! Ahsante Mdogo wangu.
Mabingwa wa kihistoria nchini, Dar es Salaam Young Africa al maarufu kwa jina la Yanga wanaingia uwanjani leo kupambana na timu ya soka ya Pyramids ya kutoka nchini Misri katika mechi ya kwanza ya mtoano kutafuta nafasi ya kuingia kwenye hatua ya makundi kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho.
Kila la heri wawakilishi wetu wa Tanzania.
Kikosi cha Yanga
Farouk Shikalo
Juma Abdul
Ally Mtoni
Kelvin Yondani
Alli Alli
Feisal Salum
Mrisho Ngasa
Makame Rashidi
Sadney Urikhob
Pappy Tshishimbi
Mapinduzi Balama
UPDATES
Mpira umeanza
5" Yanga 0 - 0 Pyramids
10" Ally Mtoni anapiga shuti kali, golikipa wa Pyramids anaokoa
12" Pyramids wanashambulia lango la Yanga
15" Yanga 0 - 0 Pyramids ---- hawa Pyramids ni warefu na wana miili mikubwa kuliko wachezaji wengi wa Yanga
20" Yanga 0 - 0 Pyramids ---- Yanga wanapata foul baada ya Juma Abdul kufanyiwa rafu; Yanga wanapoteza
22" Yanga wanakosa goli hapa, Ally Ally anapiga kichwa ila namna gani anapiga nje
25" Yanga 0 - 0 Pyramids ---- Mrisho Ngasa anapewa kadi ya njano
35" Yanga 0 - 0 Pyramids ----- Pyramids wanakosa goli hapa
40" Yanga 0 - 0 Pyramids
42" Goal; Pyramids wanapata goli la kwanza kupitia kwa Eric Traore
45" Yanga 0 - 1 Pyramids (Eric Traore)
Mapumziko: Yanga 0 - 1 Pyramids
Second Half
46" Yanga 0 - 1 Pyramids
50" Yanga 0 - 1 Pyramids ---- Yanga wameanza kipindi cha pili kwa kasi; mchezaji mmoja wa Pyramids anapewa kadi ya njano kwa kuchelewesha muda
53" Yanga 0 - 1 Pyramids --- Fei Toto anapiga mpira lakini kipa wa Pyramids anaokoa na kuwa kona
64" Goal; Pyramids wanapata goli la pili kwa kupitia Mohamed
65" Yanga 0 - 2 Pyramids (Traore, Mohamed)
70" YANGA wanafanya mabadiliko, anaingia Kaseke anatoka Ngasa
68" Yanga 0 - 2 Pyramids ---- Yanga wanafanya mabadiliko anaingia Balinya anatoka Fei Toto
70" Yanga wanafanya mabadiliko anatoka Ngasa anaingia Kaseke
75" Yanga 0 - 2 Pyramids (Traore, Mohamed)
80" Yanga 0 - 2 Pyramids (Traore, Mohamed)
85" Yanga wanafanya mabadiliko anaingia Sibomana anatoka Makame
86" Yanga 0 -2 Pyramids
88" Goal; Tshishimbi anaifungia Yanga goli la Kwanza
88" Yanga 1 - 2 Pyramids
90" Zimeongezwa dakika 5
"92 Red Card; Kelvin Yondani anapewa kadi nyekundu kwa kucheza rafu
95" Yanga 1 - 2 Pyramids
Mpira Umekwisha
Timu ya Yanga imepoteza mechi ya kwanza dhidi ya Pyramids kwa kufungwa goli 2-1, timu hizo zitarudiana ili kupata mshindi atakayeingia kucheza hatua ya makundi
Mashabiki Wanafanya Fujo: Baadhi ya mashabiki wa Yanga wanafanya fujo hapa uwanjani kwa kurusha chupa kuelekea sehemu waliyokaa viongozi wa Yanga
Rudi tena kwenye tuition ukajifunze kuandika usione aibu itakusaidia.WAKATI ZAHERA ANASEMA" NITAMBHEA MUJHEZAJI YA YANGA MILLION 100 WAGHAWANE KAMA WAKIWASHINDA AWA PYLAMID "NAZANI WATU WENGI AWAKUMUHELEWA
Jana yanga kidogo tuu wapigwe gori 9Mabingwa wa kihistoria nchini, Dar es Salaam Young Africa al maarufu kwa jina la Yanga wanaingia uwanjani leo kupambana na timu ya soka ya Pyramids ya kutoka nchini Misri katika mechi ya kwanza ya mtoano kutafuta nafasi ya kuingia kwenye hatua ya makundi kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho.
Kila la heri wawakilishi wetu wa Tanzania.
Kikosi cha Yanga
Farouk Shikalo
Juma Abdul
Ally Mtoni
Kelvin Yondani
Alli Alli
Feisal Salum
Mrisho Ngasa
Makame Rashidi
Sadney Urikhob
Pappy Tshishimbi
Mapinduzi Balama
UPDATES
Mpira umeanza
5" Yanga 0 - 0 Pyramids
10" Ally Mtoni anapiga shuti kali, golikipa wa Pyramids anaokoa
12" Pyramids wanashambulia lango la Yanga
15" Yanga 0 - 0 Pyramids ---- hawa Pyramids ni warefu na wana miili mikubwa kuliko wachezaji wengi wa Yanga
20" Yanga 0 - 0 Pyramids ---- Yanga wanapata foul baada ya Juma Abdul kufanyiwa rafu; Yanga wanapoteza
22" Yanga wanakosa goli hapa, Ally Ally anapiga kichwa ila namna gani anapiga nje
25" Yanga 0 - 0 Pyramids ---- Mrisho Ngasa anapewa kadi ya njano
35" Yanga 0 - 0 Pyramids ----- Pyramids wanakosa goli hapa
40" Yanga 0 - 0 Pyramids
42" Goal; Pyramids wanapata goli la kwanza kupitia kwa Eric Traore
45" Yanga 0 - 1 Pyramids (Eric Traore)
Mapumziko: Yanga 0 - 1 Pyramids
Second Half
46" Yanga 0 - 1 Pyramids
50" Yanga 0 - 1 Pyramids ---- Yanga wameanza kipindi cha pili kwa kasi; mchezaji mmoja wa Pyramids anapewa kadi ya njano kwa kuchelewesha muda
53" Yanga 0 - 1 Pyramids --- Fei Toto anapiga mpira lakini kipa wa Pyramids anaokoa na kuwa kona
64" Goal; Pyramids wanapata goli la pili kwa kupitia Mohamed
65" Yanga 0 - 2 Pyramids (Traore, Mohamed)
70" YANGA wanafanya mabadiliko, anaingia Kaseke anatoka Ngasa
68" Yanga 0 - 2 Pyramids ---- Yanga wanafanya mabadiliko anaingia Balinya anatoka Fei Toto
70" Yanga wanafanya mabadiliko anatoka Ngasa anaingia Kaseke
75" Yanga 0 - 2 Pyramids (Traore, Mohamed)
80" Yanga 0 - 2 Pyramids (Traore, Mohamed)
85" Yanga wanafanya mabadiliko anaingia Sibomana anatoka Makame
86" Yanga 0 -2 Pyramids
88" Goal; Tshishimbi anaifungia Yanga goli la Kwanza
88" Yanga 1 - 2 Pyramids
90" Zimeongezwa dakika 5
"92 Red Card; Kelvin Yondani anapewa kadi nyekundu kwa kucheza rafu
95" Yanga 1 - 2 Pyramids
Mpira Umekwisha
Timu ya Yanga imepoteza mechi ya kwanza dhidi ya Pyramids kwa kufungwa goli 2-1, timu hizo zitarudiana ili kupata mshindi atakayeingia kucheza hatua ya makundi
Mashabiki Wanafanya Fujo: Baadhi ya mashabiki wa Yanga wanafanya fujo hapa uwanjani kwa kurusha chupa kuelekea sehemu waliyokaa viongozi wa Yanga
Hakuna jinsi.. ukizingatia Yondani kala umeme.
Kushinda 2-0 kule Misri sio rahisi kwa timu yenu hii na kocha wenu huyu.
Hv kweli mmemchoka Papaa.. ?, Ngoja awape ubingwa wa ligi kwanzaKuanza upya Si ujinga
View attachment 1247122
Hatujamchoka mbinu zake Kwasasa binafsi zinanichoshaHv kweli mmemchoka Papaa.. ?, Ngoja awape ubingwa wa ligi kwanza