Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,520
- 1,504
Pesa ndugu,tunasajiri kulingana na kipato chetu kinavyoruhusuKwa kweli timu ya Yanga bado sana. Usajili mlioufanya hauna tija. Sajilini wachezaji wenye uwezo.
Wachezaji kama wakina Ngassa wamepitwa na wakati. Masikini Yanga timu ninayoipenda, kuna tatizo gani?