Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuwa hawajanywa Chai....Yanga Wanatutia aibu kama Taifa
Kajinyonge basiHata mtangazaji wa sebuka Mshamu Hassan ovyo kabisa, eti kwisha habari yao, kanishangaza sana
Mkuu acha utaniYanga ni Njombe mji iliyochangamka
Sasa unashangaa nini akati ndiyo ukweli wenyeweHata mtangazaji wa sebuka Mshamu Hassan ovyo kabisa, eti kwisha habari yao, kanishangaza sana
Hiyo radio ya wapi tena???Hata mtangazaji wa sebuka Mshamu Hassan ovyo kabisa, eti kwisha habari yao, kanishangaza sana
Bint anauotesa moyo wangu anasapoti mikia [emoji848]Pyramids wanashinda 4-0
Kila la heri chama langu Pyramids!!
Hivi Zahera tunamng'ang'ania kwa lipi au anatudai? Timu imepoa mno hamna mipango ya kutafuta magoli dah!Mimi nilisema. Yanga kwa Zahera hatupo vizuri. Nadhani Zahera hana mbinu mpya kwa Yanga.
Usihofu, Nimeshajinyonga tayariKajinyonge basi
Babu naomba uniacheHiyo radio ya wapi tena???
Na je hiyo kauli aliyotoa, uongo wake ni upi?
Tutapindua, Mungu ni wetu soteSasa unashangaa nini akati ndiyo ukweli wenyewe