Kombe la Shirikisho: Yanga yaanza vibaya kwa kukubali kufungwa 2 -1 dhidi ya Pyramids ndani ya CCM Kirumba

Kombe la Shirikisho: Yanga yaanza vibaya kwa kukubali kufungwa 2 -1 dhidi ya Pyramids ndani ya CCM Kirumba

Hata mtangazaji wa sebuka Mshamu Hassan ovyo kabisa, eti kwisha habari yao, kanishangaza sana
Hiyo radio ya wapi tena???

Na je hiyo kauli aliyotoa, uongo wake ni upi?
 
  • Thanks
Reactions: ram
Kwani Kunani Huko Kirumba?
Tupeni Matokeo Basi Sisi Wana Yanga Hatujayapata[emoji1787]
 
Hakika Mabingwa wa kihistoria wasio na Kombe leo mdomo umewaponza.Tuliwaambia Pyramid sio timu ya kubeza isitoshe kwa Tanzania haifahamiki,pia ina ukwasi mkubwa kutokana na Usajili wao hakika mmevuna mlichopanda.Pia ni wakati wa kuangalia uwezo wa kocha Zahera amekuwa anaongea sana huku uwezo wake ukiwa mdogo.
 
IMG-20191027-WA0020.jpg
 
Back
Top Bottom