pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
hivyo hivyoMakame atapindua meza wala usijali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivyo hivyoMakame atapindua meza wala usijali
Hahahaha jamaa kama nakuona vile unavyo hangaika kupata faraja. Sio mbaya Makame atapindua meza hukohuko EgyptMkude,Nyoni,Gadiel na Chama wangegoma MO kaishiwa mzeeKilomoni kaapa kuuwa mtu ndio mana Magori kasepa
Khaaa yani hii timu kama ni mtoto hata kitovu hakija kauka fresh, imeanzishwa 2018???? Imeifunga timu ya 1930's
Kafungwa yeye,mbinu za kijinga kabisa upo nyumbani unacheza 4-5-1Yamekuwa hayo tena... hakuna timu inaitwa zahera mtani.
Poleni sana , mjipange
Alikuwa anapunguza wingi wa magoli.. amefanikiwa.Kafungwa yeye,mbinu za kijinga kabisa upo nyumbani unacheza 4-5-1
Kama ulikuwepo MTABIRIWatarudisha tu yanga wanashinda 2 - 1
Sio kupndua. IMEWAPINDUKIAYanga watapindua meza tu nina uhakika. Japokuwa mimi naangalia ya Simba sc maana ndiyo yanayo nihusu kwa leo
Mundende, lubisa na vumbi la Kongo unavifaham hivyo vitu. IMEISHA HIOMimi ni Yanga! Nakuthibitishia hilo haliwezekani. Kushinda hii mechi au hata kufuzu tu hatua ya makundi dhidi ya hawa Pyramids ni ndoto ya mchana.
Usajili wa Zahera ni wa kustaajabisha! Jambo la kushangaza, analindwa na viongozi wa timu kana kwamba ameweka hisa zake pale Jangwani. Kiujumla tupambane tu na hali zetu!
Maana kama ni ubingwa, tayari simba watauchukua. Kwenye kombe la Shirikisho la Azam, nako hatuna ubavu wa kupambana kivile!
Usipanic utakufa bure kisa Yanga bovuMkeo anakosa hadhi ya kuwa mke ama nini
Wamegongwa wamegongwa tena dadeqHakika midogo imewaponza Viongozi na Kocha wa Yanga.Tuliwaonya msiwadharau Pyramid ni klabu ngeni kwa Tanzania lakini ni Klabu yenye ukwasi mkubwa ambao umewawezesha kusajili vizuri.Mpira sio maneno mmevuna mlichopanda.
UmeshapanicMkeo anakosa hadhi ya kuwa mke ama nini
Ujinga huo,sasa ugenini Si atacheza 1-9-1Alikuwa anapunguza wingi wa magoli.. amefanikiwa.
Ameogopa game
Antwaa Nugaz inabidi asutwe kwa lisaa lizima.Ratiba ya Yanga[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1246644