Kombe la Shirikisho: Yanga yaanza vibaya kwa kukubali kufungwa 2 -1 dhidi ya Pyramids ndani ya CCM Kirumba

Kombe la Shirikisho: Yanga yaanza vibaya kwa kukubali kufungwa 2 -1 dhidi ya Pyramids ndani ya CCM Kirumba

Mkude,Nyoni,Gadiel na Chama wangegoma MO kaishiwa mzeeKilomoni kaapa kuuwa mtu ndio mana Magori kasepa
Hahahaha jamaa kama nakuona vile unavyo hangaika kupata faraja. Sio mbaya Makame atapindua meza hukohuko Egypt
 
Mimi ni Yanga! Nakuthibitishia hilo haliwezekani. Kushinda hii mechi au hata kufuzu tu hatua ya makundi dhidi ya hawa Pyramids ni ndoto ya mchana.

Usajili wa Zahera ni wa kustaajabisha! Jambo la kushangaza, analindwa na viongozi wa timu kana kwamba ameweka hisa zake pale Jangwani. Kiujumla tupambane tu na hali zetu!

Maana kama ni ubingwa, tayari simba watauchukua. Kwenye kombe la Shirikisho la Azam, nako hatuna ubavu wa kupambana kivile!
Mundende, lubisa na vumbi la Kongo unavifaham hivyo vitu. IMEISHA HIO
 
Hakika midogo imewaponza Viongozi na Kocha wa Yanga.Tuliwaonya msiwadharau Pyramid ni klabu ngeni kwa Tanzania lakini ni Klabu yenye ukwasi mkubwa ambao umewawezesha kusajili vizuri.Mpira sio maneno mmevuna mlichopanda.
Wamegongwa wamegongwa tena dadeq
IMG-20191028-WA0001.jpeg
 
Back
Top Bottom