Kombe la Shirikisho: Yanga yaanza vibaya kwa kukubali kufungwa 2 -1 dhidi ya Pyramids ndani ya CCM Kirumba

Kombe la Shirikisho: Yanga yaanza vibaya kwa kukubali kufungwa 2 -1 dhidi ya Pyramids ndani ya CCM Kirumba

Walio tuondolea aibu wako wapi?
IMG-20191027-WA0020.jpg
 
Dah...! Hata hivyo wamekufa kiume...! Meza inapinduliwa kwao. 'Msemaji KASEMA' .kucheza kabumbu kwa 'mlomo' tunaweza
 
Kwa muda mrefu mmekuwa mkisingizia ubora wa pyramid, mlitaka aweke washambuliaji wengi ili apigwe nyingi mu mcheke zaidi?
Kwa matokeo ya leo Mwinyi hawezi kukwepa maana kajitakia mwenyewe, haiwezekani tunacheza nyumbani na mshambuliaji mmoja,hapana kwahili mzigo wa misumari ni juu yake katuzingua kabisa
 
Yaani ilkuwa team kongwe ( yanga) against team kubwa Pyramid.Imagine yanga wangecheza uwanja Taifa si wangepigwa magoal mengi wamechagua uwanja wa kirumba ili kupunguza magoal mengi.
 
Kwa muda mrefu mmekuwa mkisingizia ubora wa pyramid, mlitaka aweke washambuliaji wengi ili apigwe nyingi mu mcheke zaidi?
Sijawahi kuwa kinyume na Kocha Mwinyi,ila game ya leo aliingia na poor plan,kafungwa Zahera siyo Yanga
 
Usajili wa msimu huu Zahera katuzingua sana hasa kwa maproo! Timu ni ya hovyoo mno labda yatokee maajabu ndio tufanye maajabu!
 
Waliofanya mazoezi na professionals wapo arusha wanacheza na singida wametolewa round ya kwanza

Wametolewa na professional
sio klabu ya mchangani iliyo anzishwa miaka kumi iliyopiya huko misri
 
Yanga hii ndio mbovu kushinda nyingine yoyote ktk historia pamoja na kocha wao. Zahera afukuzwe tu ni mzigo.
 
Back
Top Bottom