GE2025 Kombo - Tutatangaza matokeo ya uchaguzi jumamosi November 1, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398
31 October 2025
Waziri KOMBO - TUTATANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI JUMAMOSI NOVEMBER 1, 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=0_yiJMnuPYA

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Mahmoud Kombo Thabit ametetea jinsi serikali yake inavyoshughulikia machafuko ya baada ya uchaguzi na kuzimwa kwa mtandao nchi nzima, kufuatia ripoti kwamba watu wengi wameuawa katika maandamano baada ya kura ya wiki hii.

Waziri huyo anasema serikali bado haiwezi kuthibitisha ni watu wangapi wameuawa au kujeruhiwa katika ghasia zilizozuka baada ya uchaguzi mkuu.

Upinzani unadai mamia wameuawa, huku Umoja wa Mataifa ukisema kuwa takriban watu kumi wamefariki tangu maandamano yaanze siku ya kupiga kura.

Waziri huyo amepuuzilia mbali takwimu zote mbili kuwa hazijathibitishwa, akisisitiza kuwa data rasmi itatolewa pindi tu uchunguzi utakapokamilika
 
31 October 2025

HASIRA KUONGEZEKA IKIWA MATOKEO YA UCHAGUZI YATATANGAZWA KESHO 1, NOVEMBER

Uchaguzi Tanzania: 'Kuendelea kutangaza matokeo kunachochea hasira' BBC

View: https://m.youtube.com/watch?v=tY8rTSzDTOE

Katibu wa Kimataifa wa Chama cha Chadema, Deogratias Munishi, ameiambia BBC Waiha Mwaura kuendelea kutangaza matokeo ya uchaguzi kunazidisha hasira kwa Watanzania.

Pia anatoa wito kwa Umoja wa Afrika AU kuingilia kati suala hilo.

Tume ya uchaguzi nchini Tanzania INEC imewaachia wagombea urais 17 kugombea nafasi hii, chama kikuu cha upinzani Chadema kimezuiliwa huku kiongozi wake Tundu Lissu akifikishwa mahakamani kwa kosa la uhaini.

Katika mahojiano tofauti na BBC, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Mahmoud Thabit Kombo ametetea jinsi serikali yake inavyoshughulikia machafuko ya baada ya uchaguzi na kutupilia mbali takwimu zozote za watu waliouawa au kujeruhiwa katika ghasia za baada ya uchaguzi.

Alisisitiza kuwa data rasmi itatolewa mara tu uchunguzi utakapokamilika
 
31 October 2025
Waziri KOMBO - TUTATANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI JUMAMOSI NOVEMBER 1, 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=0_yiJMnuPYA

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Mahmoud Kombo Thabit ametetea jinsi serikali yake inavyoshughulikia machafuko ya baada ya uchaguzi na kuzimwa kwa mtandao nchi nzima, kufuatia ripoti kwamba watu wengi wameuawa katika maandamano baada ya kura ya wiki hii.

Waziri huyo anasema serikali bado haiwezi kuthibitisha ni watu wangapi wameuawa au kujeruhiwa katika ghasia zilizozuka baada ya uchaguzi mkuu.

Upinzani unadai mamia wameuawa, huku Umoja wa Mataifa ukisema kuwa takriban watu kumi wamefariki tangu maandamano yaanze siku ya kupiga kura.

Waziri huyo amepuuzilia mbali takwimu zote mbili kuwa hazijathibitishwa, akisisitiza kuwa data rasmi itatolewa pindi tu uchunguzi utakapokamilika

Anaujinganmwingi sana ,jamaa anasema leo siku nzima ilikuwa shwari kabisa japo asubuhi sana na jioni kidogo kulikuwa na patrol kwa ajili ya usalama lakini siku nzima ilikuwa tulivu 🤣🤣
 
Mnacho kitafuta mtakipata.
Kama hadi sasa hamuoni kinachoendelea, basi nyinyi ni wafu wanaotembea barabarani.

Kwanza aeleze ni kipi kimezuia yasitangazwe leo kama ilivyo ahidiwa. Hiyo Jumamosi inao unafuu gani.

Bado mnapima kina cha maji; hiki mlicho kifikia tayari hakiwapi kipimo cha kujuwa kuwa mtazama?
 
31 October 2025
Waziri KOMBO - TUTATANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI JUMAMOSI NOVEMBER 1, 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=0_yiJMnuPYA

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Mahmoud Kombo Thabit ametetea jinsi serikali yake inavyoshughulikia machafuko ya baada ya uchaguzi na kuzimwa kwa mtandao nchi nzima, kufuatia ripoti kwamba watu wengi wameuawa katika maandamano baada ya kura ya wiki hii.

Waziri huyo anasema serikali bado haiwezi kuthibitisha ni watu wangapi wameuawa au kujeruhiwa katika ghasia zilizozuka baada ya uchaguzi mkuu.

Upinzani unadai mamia wameuawa, huku Umoja wa Mataifa ukisema kuwa takriban watu kumi wamefariki tangu maandamano yaanze siku ya kupiga kura.

Waziri huyo amepuuzilia mbali takwimu zote mbili kuwa hazijathibitishwa, akisisitiza kuwa data rasmi itatolewa pindi tu uchunguzi utakapokamilika

Huyu mbwa anasema hajui waliokufa kwa sababu hawajaua wazanzibari wenzao. HATA AKIFA MTU MMOJA, HAKUPASWA KUFA KWA SABABU YA UPUMBAVU WAO. Wanang'ang'ania madaraka hadi kuuwa watanzania 700 wasio na hatia. Tumeona watu wengine wanapigwa risasi wakiwa wamekaa nje ya nyumba zao. Huyu na Samia wa wengine wote watafikishwa ICC wakajibu mashtaka. Mbwa huu na mjinga wa mwisho asiye na akili. HATUKUBALI TUTAPIGANA HADI MWISHO, Wanaleta askari wa Uganda watuue, hatukubali.
 
31 October 2025
Waziri KOMBO - TUTATANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI JUMAMOSI NOVEMBER 1, 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=0_yiJMnuPYA

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Mahmoud Kombo Thabit ametetea jinsi serikali yake inavyoshughulikia machafuko ya baada ya uchaguzi na kuzimwa kwa mtandao nchi nzima, kufuatia ripoti kwamba watu wengi wameuawa katika maandamano baada ya kura ya wiki hii.

Waziri huyo anasema serikali bado haiwezi kuthibitisha ni watu wangapi wameuawa au kujeruhiwa katika ghasia zilizozuka baada ya uchaguzi mkuu.

Upinzani unadai mamia wameuawa, huku Umoja wa Mataifa ukisema kuwa takriban watu kumi wamefariki tangu maandamano yaanze siku ya kupiga kura.

Waziri huyo amepuuzilia mbali takwimu zote mbili kuwa hazijathibitishwa, akisisitiza kuwa data rasmi itatolewa pindi tu uchunguzi utakapokamilika

Huyu mbwa kwani yeye ni TUME YA UCHAGUZI? Kwa hiyo anayetangaza kuwa watatangaza matokeo ni Waziri wa mambo ya nje? Fala huyu, makali@ yako
 
01 November 2025

Mwenyekiti wa INEC jaji Jacobs Mwambegele

Tanzania President Samia Suluhu declared election winner after garnering 98pc of votes​

View: https://m.youtube.com/shorts/-GCVGcUirbc

Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele​

Jacobs Mwambegele photo

Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele​

Mwenyekiti wa Tume​

TOKA MAKTABA :

30 October 2025
New York , USA

USHINDI WA SAMIA WATAJWA NA GAZETI LA MAREKANI NA PIA CHANZO CHA SHIRIKA LA HABARI LA AP NI ASILIMIA 96.99

Haijafahamika ni vipi wameweza kupata matokeo hayo labda kuna njia za ki TEHAMA ICT vyanzo vimeweza kuingia au wazalendo ndani ya INEC NIDA wamevujisha.

INEC ilitangaza kuwa ndani ya saa 72 yaani siku tatu 29 - 31 Oktoba matokeo ya urais wa Samia Suluhu Hassan mwenye upinzani kiduchu yatatangazwa
Chanzo : New York Post / AP Associate Press

30 October 2025
New York, USA
President Samia Suluhu Hassan, had won 96.99% of the votes, according to the AP

Protesters have taken to the streets for a second day in Tanzania, following a disputed election in which the ruling part announced that the incumbent, President Samia Suluhu Hassan, had won 96.99% of the votes, according to the AP.

View: https://m.youtube.com/watch?v=Ganbh5-Q73k
Chaos broke out following Wednesday's election, in which any main opposition leaders were barred from running. In response, the ruling Chama Cha Mapinduzi or CCM party, deployed the military, shut down the Internet and set up a curfew.
Source : New York Post
 
Back
Top Bottom