31 October 2025
Waziri KOMBO - TUTATANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI JUMAMOSI NOVEMBER 1, 2025
View: https://m.youtube.com/watch?v=0_yiJMnuPYA
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Mahmoud Kombo Thabit ametetea jinsi serikali yake inavyoshughulikia machafuko ya baada ya uchaguzi na kuzimwa kwa mtandao nchi nzima, kufuatia ripoti kwamba watu wengi wameuawa katika maandamano baada ya kura ya wiki hii.
Waziri huyo anasema serikali bado haiwezi kuthibitisha ni watu wangapi wameuawa au kujeruhiwa katika ghasia zilizozuka baada ya uchaguzi mkuu.
Upinzani unadai mamia wameuawa, huku Umoja wa Mataifa ukisema kuwa takriban watu kumi wamefariki tangu maandamano yaanze siku ya kupiga kura.
Waziri huyo amepuuzilia mbali takwimu zote mbili kuwa hazijathibitishwa, akisisitiza kuwa data rasmi itatolewa pindi tu uchunguzi utakapokamilika