Anaujinganmwingi sana ,jamaa anasema leo siku nzima ilikuwa shwari kabisa japo asubuhi sana na jioni kidogo kulikuwa na patrol kwa ajili ya usalama lakini siku nzima ilikuwa tulivu 🤣🤣31 October 2025
Waziri KOMBO - TUTATANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI JUMAMOSI NOVEMBER 1, 2025
View: https://m.youtube.com/watch?v=0_yiJMnuPYA
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Mahmoud Kombo Thabit ametetea jinsi serikali yake inavyoshughulikia machafuko ya baada ya uchaguzi na kuzimwa kwa mtandao nchi nzima, kufuatia ripoti kwamba watu wengi wameuawa katika maandamano baada ya kura ya wiki hii.
Waziri huyo anasema serikali bado haiwezi kuthibitisha ni watu wangapi wameuawa au kujeruhiwa katika ghasia zilizozuka baada ya uchaguzi mkuu.
Upinzani unadai mamia wameuawa, huku Umoja wa Mataifa ukisema kuwa takriban watu kumi wamefariki tangu maandamano yaanze siku ya kupiga kura.
Waziri huyo amepuuzilia mbali takwimu zote mbili kuwa hazijathibitishwa, akisisitiza kuwa data rasmi itatolewa pindi tu uchunguzi utakapokamilika
Huyu mbwa anasema hajui waliokufa kwa sababu hawajaua wazanzibari wenzao. HATA AKIFA MTU MMOJA, HAKUPASWA KUFA KWA SABABU YA UPUMBAVU WAO. Wanang'ang'ania madaraka hadi kuuwa watanzania 700 wasio na hatia. Tumeona watu wengine wanapigwa risasi wakiwa wamekaa nje ya nyumba zao. Huyu na Samia wa wengine wote watafikishwa ICC wakajibu mashtaka. Mbwa huu na mjinga wa mwisho asiye na akili. HATUKUBALI TUTAPIGANA HADI MWISHO, Wanaleta askari wa Uganda watuue, hatukubali.31 October 2025
Waziri KOMBO - TUTATANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI JUMAMOSI NOVEMBER 1, 2025
View: https://m.youtube.com/watch?v=0_yiJMnuPYA
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Mahmoud Kombo Thabit ametetea jinsi serikali yake inavyoshughulikia machafuko ya baada ya uchaguzi na kuzimwa kwa mtandao nchi nzima, kufuatia ripoti kwamba watu wengi wameuawa katika maandamano baada ya kura ya wiki hii.
Waziri huyo anasema serikali bado haiwezi kuthibitisha ni watu wangapi wameuawa au kujeruhiwa katika ghasia zilizozuka baada ya uchaguzi mkuu.
Upinzani unadai mamia wameuawa, huku Umoja wa Mataifa ukisema kuwa takriban watu kumi wamefariki tangu maandamano yaanze siku ya kupiga kura.
Waziri huyo amepuuzilia mbali takwimu zote mbili kuwa hazijathibitishwa, akisisitiza kuwa data rasmi itatolewa pindi tu uchunguzi utakapokamilika
Huyu mbwa kwani yeye ni TUME YA UCHAGUZI? Kwa hiyo anayetangaza kuwa watatangaza matokeo ni Waziri wa mambo ya nje? Fala huyu, makali@ yako31 October 2025
Waziri KOMBO - TUTATANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI JUMAMOSI NOVEMBER 1, 2025
View: https://m.youtube.com/watch?v=0_yiJMnuPYA
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Mahmoud Kombo Thabit ametetea jinsi serikali yake inavyoshughulikia machafuko ya baada ya uchaguzi na kuzimwa kwa mtandao nchi nzima, kufuatia ripoti kwamba watu wengi wameuawa katika maandamano baada ya kura ya wiki hii.
Waziri huyo anasema serikali bado haiwezi kuthibitisha ni watu wangapi wameuawa au kujeruhiwa katika ghasia zilizozuka baada ya uchaguzi mkuu.
Upinzani unadai mamia wameuawa, huku Umoja wa Mataifa ukisema kuwa takriban watu kumi wamefariki tangu maandamano yaanze siku ya kupiga kura.
Waziri huyo amepuuzilia mbali takwimu zote mbili kuwa hazijathibitishwa, akisisitiza kuwa data rasmi itatolewa pindi tu uchunguzi utakapokamilika
Matokeo yatatangazwa na hakuna kitu kitatokea acheni Ukuma wenu😕wakitangaza matokeo leo nahisi ndio utakuwa mwanzo wa mauaji ya kimbari ambayo sioni mwisho wake ukifika Samia akiwa Raisi
Okay, lets wait and see!!Matokeo yatatangazwa na hakuna kitu kitatokea acheni Ukuma wenu😕
Kashatangazwa una lingine?Wamtangaze Samia waone cha moto

Kashatangazwa una lingine?