Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

Nimempa sifa baada ya kuona wazungu wamemnyima sifa zake stahiki katika Big 5 ya wanyama wakali na hatari, kisa tu kwa vile hakuwahi kupatikana kwao ulaya [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Mkuu huyo kenge hana uhatari kihivyo[emoji16][emoji16]. Mnyama kama unaweza kumkimbia huyo kawaida tu hatari yake kama wengine tu
 
Mkuu kuna Jelly fish nae balaa mwingine kuna Samaki anaitwa Bocha ana fanana na mawe sumu yake kali sana akikuchoma na Hata mwiba wake sehemu iliyochomwa inaanza kuoza muda huo huo kadri damu inavyopanda zunguka
 
Mkuu kuna Jelly fish nae balaa mwingine kuna Samaki anaitwa Bocha ana fanana na mawe sumu yake kali sana akikuchoma na Hata mwiba wake sehemu iliyochomwa inaanza kuoza muda huo huo kadri damu inavyopanda zunguka
Duh kumbe kila mtemi ana mtemi mwenzie
 
Ana staili yake nyingine ya kupata nyama, hupakaza sumu yake kwenye nyasi halafu yeye huondoka.
Badae au kesho yake komodo hurudi pale kula nyama. Mnyama yoyote atakae kula zile nyasi hufa hapo hapo.
Source National Geographic channel
 
Ana staili yake nyingine ya kupata nyama, hupakaza sumu yake kwenye nyasi halafu yeye huondoka.
Badae au kesho yake komodo hurudi pale kula nyama. Mnyama yoyote atakae kula zile nyasi hufa hapo hapo.
Source National Geographic channel
Asante mkuu kwa kuongezea nyama kwa hili ambalo wengi tulikuwa hatulijui. Yani huyu mnyama hutumia akili sana katika mawindo yake.
 
Kenge aliechangamka

Haujaingia miziki ya koboko, simba, chui
Mkuu mkorea koboko akikuotea anakugonga unakufa kwa amani, huyu akikuotea anakung'ata na kukuuwa kwa kukumega kiungo kimoja baada ya kingine huku ukiwa hai hadi unaisha. So hauoni kama hili dudu ni hatari zaidi?

Hebu fikiria mara mbili mkuu.
 
Kwanini wanyama kama hawa wasifanyiwe training wakawa wanatumika jeshini… ? Nahis jeshi la nchi kavu lingefanikiwa zaid kama lingekuwq na wanyama kama hawa kushambulia adui, kwa mfano vita ya ukrain na Urusi… Ukraine [emoji1255] wangeyaachia haya madragoni kama 50 hivi kushambulia aisee pangekua patamu[emoji1][emoji1]
 
Unaijuwa risasi ?
 
Mkuu huyo kenge hana uhatari kihivyo . Mnyama kama unaweza kumkimbia huyo kawaida tu hatari yake kama wengine tu
Wataalam wenyewe wa mambo ya wanyama washakiri hadharani (youtube) kama unavyoona kwamba hili dubwasha ni hatari hata kwa king of the jungle Simba, sasa mimi na ww tunawezaje kulichukulia poa.
 

Attachments

  • Screenshot_20220816-095112.jpg
    37.1 KB · Views: 8
Mtoa mada umedanganya watu , sio mnyama hatari kama uanvyodai , wanyama hatari wapo na wanajulikana , ana kiwango chake cha uhatari Ila sio hatari zaidi hata kumfikia cobra tuu
Mkuu Slowly sio mimi pekee niliesema hivi. Hata wataalam wenyewe wa mambo ya wanyama washakiri hadharani kuwa hata huyo king of the jungle Simba, hawezi kuweka mguu maeneo ya hawa viumbe.
 

Attachments

  • Screenshot_20220816-095112.jpg
    37.1 KB · Views: 8
Huyu kenge mwenye jina la kizungu ndio unaemfagilia namna hii!?
Mkuu, Nakuomba ukafanye marejeo usije ukatupoteza bila kukusudia!.
Wataalam wa wanyama washakiri kuwa king of the jungle Simba hawezi kuweka mguu maeneo ya viumbe hawa mkuu.
 

Attachments

  • Screenshot_20220816-095112.jpg
    37.1 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…