Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

hamuwezi nyegere ( honey badger) huyu anaanzia wapi kwanza....kwanza ngozi ya honey badger ni ngumu kama jiwe hilo jino lake linaingia wap?? na ndo maana kale ka mjamaa kanatembea hata katikati ya simba wengi kanadunda na honey badger anaweza lala hata ndan ya makazi ya fisi au black mamba vzur tuu......sumu ya black mamba humfanya honey badger azimie mda mfupi tuu baada ya hapo anaamka anaendelea kutafuta maokoto..😷😀😃😆😂🤣
Hujui ulisemalo mkuu. Soma comment za watu wenye kulijua hilo dubwasha utaelewa kilichoandikwa.

Honey bager akijichanganya kwa hilo dudu anamezwa yeye na pu.m.pu zake.
 
Back
Top Bottom