Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #461
Faida yake ni kuua na kumeza tu hapo hapo.Huyu anafaida gani kwenye ecology?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faida yake ni kuua na kumeza tu hapo hapo.Huyu anafaida gani kwenye ecology?
Mbuzi anamezwa yeye na pembe zake zote.Komodo anameza mbuzi? Umesikia wapi hii habari?
Hili dude halina huruma. Linameza mpaka jiwe 🤣🤣🤣Weka video nimetokea kulichukia hilo dude
Hujui ulisemalo mkuu. Soma comment za watu wenye kulijua hilo dubwasha utaelewa kilichoandikwa.hamuwezi nyegere ( honey badger) huyu anaanzia wapi kwanza....kwanza ngozi ya honey badger ni ngumu kama jiwe hilo jino lake linaingia wap?? na ndo maana kale ka mjamaa kanatembea hata katikati ya simba wengi kanadunda na honey badger anaweza lala hata ndan ya makazi ya fisi au black mamba vzur tuu......sumu ya black mamba humfanya honey badger azimie mda mfupi tuu baada ya hapo anaamka anaendelea kutafuta maokoto..😷😀😃😆😂🤣